Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

Wewe ndo umerukia tu, soma vizuri ishu sio brand, ishu ni uwezo wake na apewe msaada wa kuwa na brand yake na awezeshwe MTAJI na utaalamu zaidi, hapo vipi?

Konyagi atapewaje?
Huyo ni mwizi kama wizi mwingine
Ila huyu wa mawese apewe msaada ni sawa
 
Ok vibanda vyote vinavyouza juice ya miwa ilala ile juice ina tbs?
kama haina mbona hawakamatwi?
 
Ok vibanda vyote vinavyouza juice ya miwa ilala ile juice ina tbs?
kama haina mbona hawakamatwi?
Juice ya miwa inauzwa kama fresh unanunua kitu fresh, kama vile ambavyo unauza maembe n.k. Na hata hao kuna Bibi Afya huwa anawatembelea ili kuona mzingira n.k.

Tofautisha na kiwanda unachofanya packaging na kuuzia a wide area, na bigger quantity; yaani kiwanda na kibanda
 
Tunapozungumzia TBS tunamaanisha viwango,huyo bibi afya huwa ana kipimo cha kupima maji yanayotumika kama yamechemshwa?
njoo kwa wauzaji wa vitumbua na bumunda nani anapimaga mafuta au unga uliotumika una viwango gani?
 
Tunapozungumzia TBS tunamaanisha viwango,huyo bibi afya huwa ana kipimo cha kupima maji yanayotumika kama yamechemshwa?
njoo kwa wauzaji wa vitumbua na bumunda nani anapimaga mafuta au unga uliotumika una viwango gani?
Ni Unpractical kutegemea TBS watapima vitu organic / home made..., hilo linaweza kufanywa na Bibi Afya kwa kutembelea mgahawa sehemu husika na kuangalia mazingira yapo vipi, na hata kama tatizo likitokea impact yake huenda ikawa mitaa miwili au mitatu au watu kadhaa tofauti na Kiwanda ambacho reach yake ni kubwa zaidi huenda taifa zima likapata tafurani... Kumbuka mpika vitumbua anaweza kuwadhuru watu kama 20 kwa vitumbua vyake vichafu ila muuza mafuta mkubwa huenda kauzia wauza vitumbua 1000 hapo unaweza kuona impact ya kiwanda na kibanda...

Jambo unalokosea ni kusema kwamba sababu huku hapoko sawa na kule pasiwe sawa (unakosea sana) ni kweli tunalishana sana sumu na vyakula sasa hivi ni majanga hata samaki ukimtoa tu ziwani ameshakula sumu za kutosha, mazingira yameharibiwa, most processed food zina madhara n.k. Lakini hio haizuii kufanya juhudi inapowezekana ukizingatia kuna watu wanalipwa na wapo pale kuhakikisha sisi walaji hatulishani sumu
 
Kiwanda bubu cha kuhamasisha
ufisadi👇🤡🤡🤡
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…