Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani?
Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana?
uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu tunateseka
inasemekana kuna
mabadiliko ya utawala sasa hiyo ndio sababu ya bidhaa zenu kuadimika?