Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Muuulize SSHbia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani?
Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana?
uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu tunateseka
inasemekana kuna
mabadiliko ya utawala sasa hiyo ndio sababu ya bidhaa zenu kuadimika?
mkoa wa pwaniUpo mkoa gani
Huko mnywe tu kahawamkoa wa pwani
kinywajiBia ni nini?
Maji ya mende 🍻Bia ni nini?
kwahiyo huko ulipo wewe zinapatikana kwa wingi?Huko mnywe tu kahawa
Soko limewazidiabia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani?
Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana?
uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu tunateseka
inasemekana kuna
mabadiliko ya utawala sasa hiyo ndio sababu ya bidhaa zenu kuadimika?
sio eagle tu castle lite (bia pendwa) baada ya kuificha wakaipandisha na bei.Afu kweli,jana nimeulizia bia ya eagle kama baa tatu tofauti wanasema hazipo wananiambia zipo senator tu.TBL tatueni changamoto hii
mkuu si wanasemaga tajiri hatosheki lazima a maintain ili asishuke chini huenda kuna uzembe au hujuma.Soko limewazidia