mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
- Raia wamesimama nje bila msaada wakisubiri hatma na huruma ya moto.
Kuna haja ya kuondoa hivi viwanda vikubwa kwenye makazi.
- Kue na point za zimamoto mahali ambapo kuna makazi ya raia ila hizi pointi ziwe na maji pia
- Tuandae raia kuyakabili majanga kama moto , mafuriko n.k
Fire wamefika wanajitajidi kupambana nao