malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habar wakuu nauliza kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani. Vipi kiwanda kinaruhusu mtu kununua sukari kiwandani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna taarifa zao zozote googleMkuu Google map hauna?
Kipo wilaya ya Misenyi, unapokaribia mjini kuna njia kubwa inakunja mkono wa kushoto kuelekea kiwandani kilipo.Hakuna taarifa zao zozote google
Unapouliza kama kina ruhusu MTU kununua sukari kiwandani unamaanisha nini?Habar wakuu nauliza kiwanda Cha kagera sugar Kiko kagera sehemu gani..vip kiwanda kinaruhusu mtu kununua sukari kiwandani
Namaani mtu anaetaka kununua tone30 nakuendeleaUnapouliza kama kina ruhusu MTU kununua sukari kiwandani unamaanisha nini?
Karekebishe basi ueleweke.Namaani mtu anaetaka kununua tone30 nakuendelea
Hamna biashara ya kiwanda ya namna hiyo wana mawakala wao wakubwa walio ingia mkataba nao, walishalipia hiyo sukali, cha kushangaza, kwenye meli ya kuenda bkb kuna magunia ya sukali ya kagera suger kutoka mwanza kuenda bukoba, jiulize kwanini wakati sukali inatengezewa kagera( bukoba)Habar wakuu nauliza kiwanda Cha kagera sugar Kiko kagera sehemu gani..vip kiwanda kinaruhusu mtu kununua sukari kiwandani
Pamoja sana! Bila shaka wadau wamekupa muongozo.Hakuna taarifa zao zozote google
Mkuu Sasa ukiwapigia mawakala sm Bei wanazotoa nikubwa zaid ukilinganisha na Bei iliyoko sokoni Huku..yaan ukichukua Bei yawakala ukakodi roli Hadi unaifikisha inakua nabei sawa na Bei iliyoko sokoni mahala nilipo maana yake hakuna faida...Sasa huyu anaeuza Huku nae analeta roli Zima...tafsiri yake ni anaunua kiwandani badala yakwa mawakala...maana inasemekana serikali imeondoa Swala la kiwanda kuwa wakala mmoja tu Kanda ya ziwa yoteHamna biashara ya kiwanda ya namna hiyo wana mawakala wao wakubwa walio ingia mkataba nao, walishalipia hiyo sukali, cha kushangaza, kwenye meli ya kuenda bkb kuna magunia ya sukali ya kagera suger kutoka mwanza kuenda bukoba, jiulize kwanini wakati sukali inatengezewa kagera( bukoba)
Hamna biashara ya kiwanda ya namna hiyo wana mawakala wao wakubwa walio ingia mkataba nao, walishalipia hiyo sukali, cha kushangaza, kwenye meli ya kuenda bkb kuna magunia ya sukali ya kagera suger kutoka mwanza kuenda bukoba, jiulize kwanini wakati sukali inatengezewa kagera( bukoba)