Kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani?

Kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu nauliza kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani. Vipi kiwanda kinaruhusu mtu kununua sukari kiwandani?
 
Kinaruhusu ndio,
Ila jiandae kuambiwa tunauza kuanzia tani 200
 
Ukifika Bukoba panda daladala za kagera sugar. Zinafika kabisa kiwandani
 
Unaweza kununua sukari kiwandani lkn mtaji wako wakuanzia uwe na uwezo wa kujaza semi utakuwa registered kama customer na utakuwa na ID yako kwenye mfumo utakayo kuwa unaitumia kwenye manunuzi.
Ili kufika inategemea unatokea wapi ila shuka mnadani bunazi utakuta boda na vigari vya kwenda kiwandani. Zingatia bunazi ipo mbele kidogo ya kyaka kama unatokea Bukoba au Karagwe centre na barabara ya kwenda kiwandani unakuwa ujafika kabisa bunazi centre .
 
Kagera ya Magomeni hiwezi kosa maduka yanayo uza sukari mkuu.....
Kwani weupo daslam sehem gani..🙄
 
Habar wakuu nauliza kiwanda Cha kagera sugar Kiko kagera sehemu gani..vip kiwanda kinaruhusu mtu kununua sukari kiwandani
Hamna biashara ya kiwanda ya namna hiyo wana mawakala wao wakubwa walio ingia mkataba nao, walishalipia hiyo sukali, cha kushangaza, kwenye meli ya kuenda bkb kuna magunia ya sukali ya kagera suger kutoka mwanza kuenda bukoba, jiulize kwanini wakati sukali inatengezewa kagera( bukoba)
 
Mkuu Sasa ukiwapigia mawakala sm Bei wanazotoa nikubwa zaid ukilinganisha na Bei iliyoko sokoni Huku..yaan ukichukua Bei yawakala ukakodi roli Hadi unaifikisha inakua nabei sawa na Bei iliyoko sokoni mahala nilipo maana yake hakuna faida...Sasa huyu anaeuza Huku nae analeta roli Zima...tafsiri yake ni anaunua kiwandani badala yakwa mawakala...maana inasemekana serikali imeondoa Swala la kiwanda kuwa wakala mmoja tu Kanda ya ziwa yote

Back
Top Bottom