Kiwanda cha kusindika nyama chazinduliwa Tanzania

Hicho kiwanda nadhani ni kile cha wasomali mkiwakimata mnawaita wahamiaji haramu hao jamaa ni mtajiri sana kuliko mnavyodhania na wana mtandao mkubwa Duniani kama wahindi tuu...

Hela za AL SHABAB nzuri eh?
 
Mchwa ni tatizo.. kuwamaliza ni kazi haswa.

Hizo project za serikali ukizifuatilia kiundani unaweza kukuta hela yote ya kukamilisha mradi ilishatengwa ila ndio hivyo kila mtu ameweka mkono wake hapo wakaipukutisha na miradi ikaishia njiani. Pia tuna shida sana kwenye upande wa human capital. Hakuna think tanks wazuri upande wa uwekezaji na masoko au kama wapo wanajali matumbo yao binafsi. Hii sekta ni untapped kabisa. Hata kuziombea loan kwenye mabank na kuziendesha kwa PPP wanashindwa? Soko la nyama na bidhaa za mifugo ni kubwa sana sasa sijui wanakwama wapi?
 
Kuna mtu kaandika kipo soga mwengine kaandika Vingunguti nawewe unasema kipo Vigunguti sasa tumwamini nani?
Ungejiogeza ukatafuta miradi inayoendelea kwa mkoa wa Dar-es-salaam, nakumbuka Civil contractor wa machinjio mapya alikuwa NHC.
Tena imechelewa kukamilika kama yaliyokuwa maagizo ya Magufuli .
 
Jumla tuna machinjio 4 tanzania nzima.

Ipi bora kati ya hizo?

1 Dar
2 Shy
3 Kibaha

4 .....??
 
Choboni Corona ndio umeharibu biashara, ndege zote zilifungwa muda mrefu na yeye hutegemea kuuza uarabuni na migodini

Usiropoke tu sababu una povu mdomoni
Biashara yake ilishuka hata kabla ya corona. Ni kwa nini hamfanyi utafiti kabla ya kupost hoja?
 
Ungejiogeza ukatafuta miradi inayoendelea kwa mkoa wa Dar-es-salaam, nakumbuka Civil contractor wa machinjio mapya alikuwa NHC.
Tena imechelewa kukamilika kama yaliyokuwa maagizo ya Magufuli .
Mbona unaquote watu kama unamihemko? Waliotafuta miradi ndio wameweka humu halafu wewe unaniambia nini?
 
Mimi nataka walioua viwanda wasakwe wote watupwe lupango, wameisababishia nchi matatizo vizazi na vizazi
 
Mbona unaquote watu kama unamihemko? Waliotafuta miradi ndio wameweka humu halafu wewe unaniambia nini?
Basi nenda huko physicaly uhakikishe kama Thomas Lakini mimi nimeona kwa macho yangu kama mwezi mmoja uliopita ikifanyiwa Installation ya mitambo.
 
Basi nenda huko physicaly uhakikishe kama Thomas Lakini mimi nimeona kwa macho yangu kama mwezi mmoja uliopita ikifanyiwa Installation ya mitambo.
Hadi sasa nawaza tunachobishana mimi na wewe ni nini hasa.
 
Halafu ikawaje mkuu badae[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dr Boniventure Mtey alikulipa sh mkuu?
 
Hili swali huwa najiuliza kila mara

Ni kweli kwamba sisi Tanzania tuna Ng'ombe kiasi hicho cha kuchinja kila siku 1000? Au huwa wanaproject vipi
Mkuu usikae jamii forum kiboya...umiza ndonga basi kidogo,hicho kiwanda kikikosa malighafi hapa kitafungua fursa hata kwa nchi jirani.

Miundombinu (SGR) si ndio hiyo inajengwa mkuu maisha yatakuwa bull bull [emoji1][emoji1]
 
Sijui umeelewa walakini wangu, au umetumia matako kufikiri halafu ukanijibu!!?
 
kuna jamaa alisema wana siasa hawa haminiki aki kwambia usiku mwema kabla ya kuitikia kahakikishe kwanza nje wenda ni mchana bado!!!!
 
Hela za AL SHABAB nzuri eh?
hao wana hela toka enzi za fiat yale maroli unawakuta wanayo wao tuu hapo Nairobi,Johannesburg wametawala wao kwa biashara kubwa hizi ndio maana unaona wafanyakazi wao wakikamatwa wakiitafuta JHB wakifika kule ni maisha tuu maana njia washatengenezewa...
 
Fufueni kwanza Tanganyika Parkers
Mwalimu alishaweka kiwanda kikubwa tu hapo Kawe DSM, mkakiua sasa mnataka promo kwa vitu ambavyo kama Taifa tayari tulishaviachieve. Naona mko busy kure-invent the wheel
Tuliyobahatika kula nyama zao dah ilikuwa balaa
Standard ya Hali ya juu......
Kweli kurudi kiwanda kama kile ni mtihani

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mwaka mmoja baada ya uzinduzi maendeleo yake na changamoto zake vipi, tuna mpango wa kujenga kama hicho lakini kidogo zaidi.
Saivi wanachinja ng'ombe na mbuzi wangapi kwa siku ?
 
Mwaka mmoja baada ya uzinduzi maendeleo yake na changamoto zake vipi, tuna mpango wa kujenga kama hicho lakini kidogo zaidi.
Saivi wanachinja ng'ombe na mbuzi wangapi kwa siku ?
Hapo jibu siyo rahisi
 
Utitiri wa viwanda uliosema tunaanza kuuona mwaka huu uko wapi?
Tangu unaandika haya mataputapu mwaka jana nilijua huyu ndio walewale timu kusifia. Ukute hicho kiwanda hata serikali imekiwekea ukiritimba kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…