Hicho kiwanda nadhani ni kile cha wasomali mkiwakimata mnawaita wahamiaji haramu hao jamaa ni mtajiri sana kuliko mnavyodhania na wana mtandao mkubwa Duniani kama wahindi tuu...
Hela za AL SHABAB nzuri eh?
Hicho kiwanda nadhani ni kile cha wasomali mkiwakimata mnawaita wahamiaji haramu hao jamaa ni mtajiri sana kuliko mnavyodhania na wana mtandao mkubwa Duniani kama wahindi tuu...
Viwanda vya nyama vilivyotelekezwa na serikali vilikuwa wameanza kuvijenga Shinyanga na Mbeya!! Kwavile hakuna contunuity katika utawala wa nchi inawezekana hawa wa leo hawana habari kama hata kulikuwa na mipango ya namna hiyo iliyoanzishwa!!! Wanakimbilia new investments ili nao wakombe 10%!!!! Si mnamkumbuka Kangi Lugora aliyekuwa anatema na ilaní ya uchaguzi ya ccm huku kumbe alikuwa anatekeleza ilani yake binafsi!!!!
Ungejiogeza ukatafuta miradi inayoendelea kwa mkoa wa Dar-es-salaam, nakumbuka Civil contractor wa machinjio mapya alikuwa NHC.Kuna mtu kaandika kipo soga mwengine kaandika Vingunguti nawewe unasema kipo Vigunguti sasa tumwamini nani?
Biashara yake ilishuka hata kabla ya corona. Ni kwa nini hamfanyi utafiti kabla ya kupost hoja?Choboni Corona ndio umeharibu biashara, ndege zote zilifungwa muda mrefu na yeye hutegemea kuuza uarabuni na migodini
Usiropoke tu sababu una povu mdomoni
Mbona unaquote watu kama unamihemko? Waliotafuta miradi ndio wameweka humu halafu wewe unaniambia nini?Ungejiogeza ukatafuta miradi inayoendelea kwa mkoa wa Dar-es-salaam, nakumbuka Civil contractor wa machinjio mapya alikuwa NHC.
Tena imechelewa kukamilika kama yaliyokuwa maagizo ya Magufuli .
Mimi nataka walioua viwanda wasakwe wote watupwe lupango, wameisababishia nchi matatizo vizazi na vizaziSasa wewe ulitaka hao watu binafsi wasijenge viwanda? ATCL imefufuliwa na serikali, mnaipiga vita kila kukicha na kuiombea mabaya.
Nna uhakika, serikali hii ikifufua chochote kilichokufa, mtakuja kukebehi hapa. Lakini upinzani ukifanya ivo ivo mtakuja kusifia.
Double standards tu. Leo hii tawala zilizopita mnaziona zilikuwa na great thinkers for the prosperity of our community? Wakati mlikuwa mkikesha kuziponda.
Hebu unafiki uwekwe pembeni kwanza
Basi nenda huko physicaly uhakikishe kama Thomas Lakini mimi nimeona kwa macho yangu kama mwezi mmoja uliopita ikifanyiwa Installation ya mitambo.Mbona unaquote watu kama unamihemko? Waliotafuta miradi ndio wameweka humu halafu wewe unaniambia nini?
Hadi sasa nawaza tunachobishana mimi na wewe ni nini hasa.Basi nenda huko physicaly uhakikishe kama Thomas Lakini mimi nimeona kwa macho yangu kama mwezi mmoja uliopita ikifanyiwa Installation ya mitambo.
Halafu ikawaje mkuu badae[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haukawii kukuta ni machinjio, wanasema kiwanda, 😀
Kiwanda cha sukari chafunguliwa Mbigiri, wakulima wakaacha kulima mpunga wakalima miwa, kilichowapata.. 😀
Yaani imefika mahali ngumu kuamini hivi vitu 😀
Everyday is Saturday...........................😎
Dr Boniventure Mtey alikulipa sh mkuu?Hatimae kiwanda cha funguliwa rasimi
Hongereni TANCHOICE nakumbuka jinsi kilivoanza kujengwa na mm nikiwa miongoni mwa mafundi pale kiwandani tangu mwanzo mwa msingi hadi hatua ya upakaji rangi na upauaji dah!
Mzee mmoja anaitwa mzee Dominic na Mr Jonas duh?
Hongereni sana
Kiwanda nakielewa vizuri sana na ni bonge la kiwanda kwa EAC na nimenufaika pa kubwa sana kutokana na ujenzi wa kiwanda hiki na sio machinjio kama mnavyobeza humu JF, tembeleeni Pwan msijifiche nyuma ya keyboard na kuanza kubeza kinyambafu namna hii mnakera sana enyi watu,
TANCHOICE ipo Soga Kibaha ukiwa unatoka Dar unashuka Kongowe Kibaha, unachukua bodaboda au kuna bajaji pia wanakupeleka Soga
Ukifika ulizia Ilipo karakana ya YAPI MERKEZ,
Ukifika hapo kwa Waturuki ali maarufu YAPI MERKEZ kiwanda utakiona tu kipo kwa pembeni yake tu
Wamiliki ni Wasomali
Viva JPM kwa kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji
Asante sana wakuu
Mkuu usikae jamii forum kiboya...umiza ndonga basi kidogo,hicho kiwanda kikikosa malighafi hapa kitafungua fursa hata kwa nchi jirani.Hili swali huwa najiuliza kila mara
Ni kweli kwamba sisi Tanzania tuna Ng'ombe kiasi hicho cha kuchinja kila siku 1000? Au huwa wanaproject vipi
Sijui umeelewa walakini wangu, au umetumia matako kufikiri halafu ukanijibu!!?Mkuu usikae jamii forum kiboya...umiza ndonga basi kidogo,hicho kiwanda kikikosa malighafi hapa kitafungua fursa hata kwa nchi jirani.
Miundombinu (SGR) si ndio hiyo inajengwa mkuu maisha yatakuwa bull bull [emoji1][emoji1]
kuna jamaa alisema wana siasa hawa haminiki aki kwambia usiku mwema kabla ya kuitikia kahakikishe kwanza nje wenda ni mchana bado!!!!Haukawii kukuta ni machinjio, wanasema kiwanda, 😀
Kiwanda cha sukari chafunguliwa Mbigiri, wakulima wakaacha kulima mpunga wakalima miwa, kilichowapata.. 😀
Yaani imefika mahali ngumu kuamini hivi vitu 😀
Everyday is Saturday...........................😎
kweli asee . . . .umenikumbusha enzi zileeeFufueni kwanza Tanganyika Parkers
Mwalimu alishaweka kiwanda kikubwa tu hapo Kawe DSM, mkakiua sasa mnataka promo kwa vitu ambavyo kama Taifa tayari tulishaviachieve. Naona mko busy kure-invent the wheel
hao wana hela toka enzi za fiat yale maroli unawakuta wanayo wao tuu hapo Nairobi,Johannesburg wametawala wao kwa biashara kubwa hizi ndio maana unaona wafanyakazi wao wakikamatwa wakiitafuta JHB wakifika kule ni maisha tuu maana njia washatengenezewa...Hela za AL SHABAB nzuri eh?
Tuliyobahatika kula nyama zao dah ilikuwa balaaFufueni kwanza Tanganyika Parkers
Mwalimu alishaweka kiwanda kikubwa tu hapo Kawe DSM, mkakiua sasa mnataka promo kwa vitu ambavyo kama Taifa tayari tulishaviachieve. Naona mko busy kure-invent the wheel
Hapo jibu siyo rahisiMwaka mmoja baada ya uzinduzi maendeleo yake na changamoto zake vipi, tuna mpango wa kujenga kama hicho lakini kidogo zaidi.
Saivi wanachinja ng'ombe na mbuzi wangapi kwa siku ?
Utitiri wa viwanda uliosema tunaanza kuuona mwaka huu uko wapi?Ok
TANCHOICE wanakiwanda kidogo kidogo dodoma lkn si kikubwa kama hiki kilichopo Soga Kibaha,
Mmiliki ni Msomali lkn anaishi Dubai kashirikiana na Msomali mwenzie kwa share kiasi ila top mwenye hisa kubwa yupo Dubai
Mshirika wake pia anaishi Marekani ila hapa bongo ana biashara zake tu kubwa hapo Kariakoo jijini Dar
So waliweka pesa ya kutosha pale Soga kwa ajili ya kujenga hicho kiwanda na kuwa center kubwa ya kiwanda chao EAC na kiuhakika hiki kiwanda ni kikubwa mno kwan nakifahamu mwanzo mwisho ijapo sasa nimetoka pale kwa maana ya kumaliza kazi yangu ya ujenzi
Wasomali wamejiwekeza sana pale kwa maana ya kiwanda na si machinjio kama wanvosema wengine humu ndani,
Tembeleeni pwani mujionee viwanda vinavohubiriwa vimejengwa na ili muamini kwa macho.
Kifupi Pwani viwanda vimejengwa na wala sio blabla kama mzanivyo.
Serikali imejitahidi mno kama sekta ya viwanda ijapo vingi bado vinaendelea kujengwa na vingine vipo hatua za mwisho mwisho kukamilika
Hope kuanzia mwakani nadhani utiriri wa viwanda utaanza kufanya kazi na nadhan hata vijana wengi watapata kazi viwandani
Asante
NB: tembelea pwani uone kama ni ukweli ama uongo kwa maana najua wengi tunapinga pasipo kujua lolote lile