Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
No.2.Ugumu uko wapi kwani Beatrice?
Labda umesahau. Barakoa ni kitambaa tu. Unachohitaji ni hicho kipande kidogo tu cha kitambaa kama mali ghafi na cherehani. Ukipanga mafundi cherehani 100,000 nchi nzima na kila mmoja akazalisha barakoa 850 kwa siku hujapata hiyo idadi unayoishangaa?
Na mbona hata viwanda vya nguo viko kibao? Urafiki, Mwatex, Tabora Textile, Mutex nk nk
Ni Tanzania na the left over una export Uganda, Kenya, China na hata USA nk nk...!
1. No, it is real. It's possible kuzalisha kiwango hicho cha barakoa ukiamua...
2. Kwani ukichukua $100,000,000 ukazidisha na rate ya Tshs. 2300 kwa dola unapata shilingi ngapi wewe kama siyo 2.3trn...?
Kwa hili sijaona problem yoyote mimi. Labda kwa mengine naweza kukubaliana na wewe hasa la utetezi wake wa tozo za miamala ya simu...
Hilo serikali imechemka for a big time kwa sababu huwezi kutumia kigezo cha kujenga barabara vijijini kukamua wanyonge mpaka watoe damu badala ya maziwa..
Kigezo kuwa tumekuwa tukipiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kwa hiyo ubunifu wao ukaishia kwenye mifuko ya hawa masikini, basi there's a problem somewhere, somehow ndani ya serikali ktk kufikiri kwao...!
Tuchukue;
100,000,000/- x 2300/-
Tunapata 230,000,000,000/=.
Hivi kwa kiswahili hiyo ndo 2.3t?