#COVID19 Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

No.2.
Tuchukue;
100,000,000/- x 2300/-
Tunapata 230,000,000,000/=.
Hivi kwa kiswahili hiyo ndo 2.3t?
 
Huko shule mlienda kusomea ujinga? Wengine walienda kuondoa ujinga, wengine mkaenda kuusomea kabisa?

Ama kweli hesabu ugonjwa wa Taifa🤣, au ndo yale MAGAZIJUTO bado yanasumbua?
CCM yote anayejua hisabati ni Polepole unategemea nini kwa mtu anayekopa, anaongeza anakopa tena, anakwenda na 2 kichwani, akiisahau hiyo 2 huko kichwani ndo taabu inapoanza.
 
Jf kuna watu hua wanajifanya wajuaji kumbe kichwani wanamiliki kamasi.... umesikia hizo barakoa lazima ziuzwe ndani tuu? hairuhusiwi kuexport kwa majirani kama msiumbiji, malawi, zambia, burundi, congo drc, rwanda, uganda, kenya n.k? na je hujui kua barakoa ni disposable kwamba mtu anaweza kutumia zaidi ya moja kwa siku? Saa zingine muwe mnaacha akili ziwe huru kufikiri sio mnashikiwa akili na wafungwa!

Sent from my M2101K7AI using JamiiForums mobile app
 
Tuanzie hapa, mkuu umesema uwepo wa covid 19 tangu utambulike una miezi 3, pekee? Are you serious?
Not serious for sure,
Mtoa mada ameshindwa kuelewa kwamba huwezi kutumia barakoa moja kwa siku kama unatumia hasa hizi disposable.Pia akumbuke kwamba si lazima ulichokizalisha utumie mwenyewe vinginevyo akina mama lishe wasingepika chakula kingi maana hawawezi maliza.
 
Kwani Tanzania si tulikubaliana tumeitokomeza corona rasmi tangu Mei 2020 na tukaambiwa tuwe na siku ya kusherekea ushindi? Sasa kiwanda cha nini tena wakati hatukuwa na corona.
Uko kama fala
 
Nimeona hii nikasema hili taifa halina watu wenye uwezo wa kufikiri sawasawa unaanzishaje kiwanda kikubwa hivyo kwa bidhaa ambaye mahitaji yake ni ya msimu?



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
231,900,001,936.37 Hii ni Tillioni 2.3?
Hii Nchi imeharibu kizazi chake.
 
Baada ya dhiki faraja. Akili ni nywele. Acha wale vya mwisho mwisho.
 
Hii ni Serikali ya majizi na mafisadi yanayoiba trillions za walipa kodi kila mwaka na ripoti zote za CAGs zimethibitisha hivyo na hakuna yeyote yule anayewajibishwa. Mwaka huu CAG Kichere katishiwa kuuawa kwa kufanya kazi zake na kusema ukweli.


 
Tuanzie hapa, mkuu umesema uwepo wa covid 19 tangu utambulike una miezi 3, pekee? Are you serious?

covid 19 haikutambulika enzi za serikali ya mwenda zake
 
Huko shule mlienda kusomea ujinga? Wengine walienda kuondoa ujinga, wengine mkaenda kuusomea kabisa?

Ama kweli hesabu ugonjwa wa Taifa[emoji1787], au ndo yale MAGAZIJUTO bado yanasumbua?

ccm wanapenda namba ila hawajui hesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…