genius
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 428
- 337
Yesu wao hajawahi kufanya jambo lolote likafanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu wao hajawahi kufanya jambo lolote likafanikiwa
Yaani ni hatari kabisa. Nakumbuka walihamasishwa mno mno na wakaitikia wito. Wafanye utaratibu hiyo miwa iuzwe kwa viwanda vingine itunusuru hao wakulima.Kuna baadhi ya wakulima waliacha kulima mpunga wakalima miwa, muda huu hali zao ni mbaya sana, hawana hata chakula.
Kuna mkandarasi mmoja alikopa mafuta kituo fulani cha mafuta ili awalimie wakulima, since december last year mpaka leo hajalipwa pesa yake.Yaani ni hatari kabisa. Nakumbuka walihamasishwa mno mno na wakaitikia wito. Wafanye utaratibu hiyo miwa iuzwe kwa viwanda vingine itunusuru hao wakulima.
Acha uzandiki mjombaYesu wao hajawahi kufanya jambo lolote likafanikiwa
Menejimenti haisaidii chochote, kinachohitajika ni kiwanda kufanya kazi watu wapate pesa...Management ilisavunjwa ikawekwa nyingine, but up to know nothing is going on.
Miwa ya viwanda vya sukari ni tofauti kidogo na hii miwa ya mitaani,Wakuu kama hizo miwa haziuziki ni bora muingie mtaani muiuze pingili 100, mrudishe hata nusu ya hela yenu sa mtafanyaje kilicho baki ni miwa kukauka
Mashamba huwa yanapigwa moto, miwa kufyekwa na kupelekwa kiwandani, kuna time frame, la sivyo miwa inaharibika ikicheleweshwa kuwa processed.Yaani ni hatari kabisa. Nakumbuka walihamasishwa mno mno na wakaitikia wito. Wafanye utaratibu hiyo miwa iuzwe kwa viwanda vingine itunusuru hao wakulima.
Italika tu mkuu...!Miwa ya viwanda vya sukari ni tofauti kidogo na hii miwa ya mitaani,
Everyday is Saturday..........................😎
😀 😀 😀 😀 ka korosho?!Italika tu mkuu...!
Niamini.
Mdogo wake na yesu upoAcha uzandiki mjomba
Kipo Kilosa ama Morogoro Vijijini?! kimbilioletu
Wanasiasa hawana habari na maisha yenu nyinyi wanyonge.
Pambaneni na hali tu.
Na wanasema wao ni watetezi wa wanyonge.Serikali ya awamu ya tano imeharibu maisha ya wananchi.
Na wanasema wao ni watetezi wa wanyonge.
Huyo kama ulitaka kununua matunda kwake unaahirisha,akikuuliza kwanini hununui mwambie nasubiri nyongeza ya mshahara itakapopatikana nitakuungisha matunda yako.Tatizo watz wengi wetu ni wajinga mno.
Tunasifia kitu hata hatujui madhara yake.
Nimekutana na mtu mmoja anamsifia Rais Magufuli.
"Rais huyu noma sana...ni kiboko....aendelee hivi hivi....hakuna kuongeza mshahara toka aingie madarakani.....tutaheshimiana tu."
Yeye ni mchuuzi anauza matunda sokoni.
Hapo hapo analalamika biashara mbaya sana.....watu hawanunui matunda.