Kiwanda cha nguo Sinovest Industry Bagamoyo cha zalisha zaidi ya ajira 10,000

Kiwanda cha nguo Sinovest Industry Bagamoyo cha zalisha zaidi ya ajira 10,000

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
IMG-20261008-WA0029.jpg


Mradi wa Sinovest Industry katika Bagamoyo Special Economic Zone (BSEZ) unaendelea kwa kasi, ukiwa na uwekezaji wa Dola milioni 50 na eneo la mita za mraba 210,080. Kiwanda hicho kinatarajiwa kuzalisha bidhaa mbalimbali za nguo ikiwemo jezi, T-shirt na boxers, huku tayari kikiwa kimezalisha ajira 10,000 na kuwekeza zaidi ya Shilingi bilioni 26. Mradi huo pia umejenga mabanda mawili ya viwanda yenye zaidi ya mashine 1,000 za kushonea, ukiendelea kupanua uzalishaji, mafunzo na ajira kwa vijana wa Kitanzania. Kwa upande wa soko, Sinovest inalenga kuuza bidhaa zake katika nchi za Ghuba ya Uajemi, ikiwemo UAE, Qatar, Oman na Saudi Arabia.
 
Back
Top Bottom