Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hebu ongeza nyama kidogo mkuu, kuna la kujifunza kwetu pia.NILIINGIA ALIBABA KUJUA MASHINE ZA MAJI NA CHUPA ZAKE BORA KIWANDA CHA SABUNI NI BEI NDOGO
Nime angalia nyuzi za nyuma kidogo, wame week mchanganuo was kama 200m kwa maji.NILIINGIA ALIBABA KUJUA MASHINE ZA MAJI NA CHUPA ZAKE BORA KIWANDA CHA SABUNI NI BEI NDOGO
Ngoja tusubiri, ma jobless tuna la kuji funza hapa 🤒Wanakuja
Kuna jobless anawaza biashara ya 200mNgoja tusubiri, ma jobless tuna la kuji funza hapa 🤒
Nauliza for future use, kwani Kuna kosa Kwenye kuji funzaKuna jobless anawaza biashara ya 200m
Sawa tajiri wanakuja mimi sina ABCD.Nauliza for future use, kwani Kuna kosa Kwenye kuji funza
Mimi ni jobless pro max 🤒Sawa tajiri wanakuja mimi sina ABCD.
Hii biashara kuna dogo alikuwa anafanya tena anatengeneza kwao kabisa ,ilikuwa ni sabuni za maji alipiga pesa ...Accumen Mo hauna lolote unalo fahamu Humu?!
Wadanganye watotoMimi ni jobless pro max 🤒
Watu wa osha ehh??, Kuna jamaa nili mkuta mwanza ana tengeneza za kipande.Hii biashara kuna dogo alikuwa anafanya tena anatengeneza kwao kabisa ,ilikuwa ni sabuni za maji alipiga pesa ...
Mwaka 2015 au 2016 mwanzoni nilitaka kwenda kumtembelea dogo ,ila nikasikia alipiga pesa kwa ujinga kaua kiwanda kakimbilia south Africa...Huku kaenda kuajiriwa kweny supermarket.
Tangu hapo sijapata idea maana nilitaka kumpeleleza kidogo..Ila sabuni watu wanatengeneza sana tatizo hawa watu wa mazingira ..
We Jamaa uta kuja ufanye nikose hata ulinzi😄🤒Wadanganye watoto