Kiwanda chakutengeneza Simu na Softwares Afrika Mashariki na Kati kujengwa nchini Tanzania.

Twitter tena? Hilarious.
Hawa watoto wa ccm wataokota uchafu kila mahali alafu wapost hapa😀😀😀😀😀😀😀😀😱😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mtu analeta tweet hapa alafu anazifungulia thread .....kweli watu ni kichaa
 
Nikwamba unataka kuhamisha mada ?? Nilikwambia kuwa huwezi kuitenga China na Tanzania. Hapa kazi tu !
Kiwanda kikijengwa unitag😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nyinyi tumewatoea na tuta, kita, wata..... ........
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀:
 
Hao ndio ligi yenyu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀:
 
Kiwanda kikijengwa unitag😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nyinyi tumewatoea na tuta, kita, wata..... ........
Naona wivu umekufika pabaya. Tanzania tunajenga viwanda kila kukicha.
 
Hawa watoto wa ccm wataokota uchafu kila mahali alafu wapost hapa😀😀😀😀😀😀😀😀😱😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mtu analeta tweet hapa alafu anazifungulia thread .....kweli watu ni kichaa
Naona unazidi kuchanganikiwa kwa kasi ya Tanzania tunayoenda nayo. Hiyo ni Tweet page ya ubalozi wa Tanzania nchini China. Utakonda sana mwaka huu. Nabado tweet nyingine tu nyingi nitazifungulia thread.
 
Back
Top Bottom