Kiwanda gani naweza fungua/anzisha kwa gharama ya millioni nne?

Hicho kitakuwa Kiwanda au machinjio?!

Kiwanda:
Production
Processing
Packaging
Bottling

Atafanya kipi kati ya hivyo?
Mkuu sio kila kiwanda kina hizo sifa zote production, bottling, packaging kumbuka kuna viwanda vina assemble tu products kutoka kiwanda kingine. Hata ukinunua nyama wewe ukaifanyia packaging bado hicho ni kiwanda. Tatizo wengi hatuelewi au tuna-overlook maana ya kiwanda. Alafu naona kama umefanya kukosoa tu bila kutoa alternaves
 
nimependa mkuu...
 
Kwa wadogo zetu mnaokua na watu wazima ambao bado akili zinakua tungependa kuwaarifu kuwa sisi tunajua kuandika utani na pumba zaidi yenu lakini tufahamu tuandike wapi na wakati gani, kuna majukwaa mengi ya utani lakini when it comes to business kuweni na adabu tafadhali
Bravo
 
Kwa kiwango cha pesa ulicho nacho nakushauri ufanye kati ya biashara zifuatazo:
1. Nunua mashine za kutengeneza peanut butter. Mashine hizo ni peanut grinder, peanut roster na meza ya kufanya sorting. Hiyo hela itatosha na utabakiwa na kiasi fulani cha kunjnua raw materials (karanga) za kutosha za kuanzia.

2. Biashara ingine nunua mashine ya kusaga na kukoboa unga wa mahindi na uwe unapaki. Mashine hizo fanya zitumie motor moja ku run mashine zote mbili ili kuokoa gharama. Hapa sidhani kama utakuwa na hela ya materials ya kuanzia.

Pia kwenye case zote mbili nime assume utakuwa na shed ya kuweka hizo mashine.

Kila la heri
Mawazo mazuri sana, kwa lugha iliyokuja kwa meli ikarudi kwa ndege ningesema hivi "right thoughts and ideas with lots of commercial values"
 
Binafsi ni muumini wa kilimo na Teknolojia. Najaribu kuwaza kiwanda gani naweza kununua au kutengeneza kwa gharama ya millioni nne za kitanzania angalau kije kufunguliwa na kiongozi wangu wa mtaa.

Kiwanda chochote cha kuongeza thamani bidhaa za shamba au asili.

Naamini hakuna ambacho kimewahi shindikana humu.

Msaada please.
angalia fursa kwanza iliyopo ndipo ujikite kwenye kuanzisha hicho kiwanda huwwezi anzisha bila uwepo wa fursa utaipoteza hela ukabaki unalia then ukishabaini fursa angalia soko je lipo hii si kwa kuuliza uliza akina mama mwenda ingia mwenyewe fuatilia baada ya hapo angalia uwezo wa hela yako kuanzisha pia unaweza anzisha kwa awamu ni wewe na hiyo fursa.
 
lengo kuu, kwanza ni kujua kama kuna uwezekano wa uwepo wa kiwanda chenye thamani ya 4M.
mfano, nilijua mtambo wa toothpick hata chini ya 4M unawezekana lkn kwa maelezo ya wadau humu zile bei za alibaba ni bei tamanishi hadi unafika site ni zaidi ya hata 20M.Na niliiona fursa kabisa ktk hili la toothpick.

nashukuru kwa ushauri lkn, na utafiti mkuu nafanya kila ninapopata fursa
 
Tengeneza juis kwa kusindika mkongoraa,na changanya na vumbi la Kongo,andaa good packaging kama juice za Apolina then ingiza mjini,walah kesho TBC watakuomba interview.

Hahahhahahaha wanaume wa daslam wanapenda sana hizo vitu kwahiyo atauza
 
kwa milioni nn
lengo kuu, kwanza ni kujua kama kuna uwezekano wa uwepo wa kiwanda chenye thamani ya 4M.
mfano, nilijua mtambo wa toothpick hata chini ya 4M unawezekana lkn kwa maelezo ya wadau humu zile bei za alibaba ni bei tamanishi hadi unafika site ni zaidi ya hata 20M.Na niliiona fursa kabisa ktk hili la toothpick.

nashukuru kwa ushauri lkn, na utafiti mkuu nafanya kila ninapopata fursa
ni sawa ila una verry limited chances za kuanzisha kiwanda kwa hiyo hela inabd utembelee sido/veta utaona ni mitambo ipi ya bei nafuu kuendana na bajeti yako then ulinganishe na fursa ulizoona kwa kuagiza nje sahau manunuzi tu issue bado kodi bado kuifunga ni kama huo wa toothpick ulivyoona yani inabd uwe local sana sana sanaaaa
 
nakupata kwa uzuri...
kuna kamtambo local ka mzee wangu mmoja kanakausha Matunda na yanabaki na ubora wake, bahati mbaya nimepoteza namba zake, ila nitamsaka kwa vyanzo vyangu vingine lkn kilichonishangaza mara ya kwanza nimenunua product yake nikaipeleka nyumbani kila mtu anaponda... mara ooh itakuwa ni chafu, mara ooh haina virutubisho, mara ooh bei kubwa mara ooh sio tamu kama embe halisi.

Wabongo wakisikia kitu kisicho cha kawaida na kimetengenezwa na mwenzao wanageuka maadui. ngoja kwanza nimsake mzee wangu kabla ya kutafiti fursa za hii kitu.
mkuu malengo ni kufika 2020 lazima niwe na product flaniflani kwenye jamii. Mawazo yenu nayaheshimu sana.
 
Kwa kiwango cha pesa ulicho nacho nakushauri ufanye kati ya biashara zifuatazo:
1. Nunua mashine za kutengeneza peanut butter. Mashine hizo ni peanut grinder, peanut roster na meza ya kufanya sorting. Hiyo hela itatosha na utabakiwa na kiasi fulani cha kunjnua raw materials (karanga) za kutosha za kuanzia.

2. Biashara ingine nunua mashine ya kusaga na kukoboa unga wa mahindi na uwe unapaki. Mashine hizo fanya zitumie motor moja ku run mashine zote mbili ili kuokoa gharama. Hapa sidhani kama utakuwa na hela ya materials ya kuanzia.

Pia kwenye case zote mbili nime assume utakuwa na shed ya kuweka hizo mashine.

Kila la heri
Wewe nitakutafuta kwa namba2
 
Back
Top Bottom