nakupata kwa uzuri...
kuna kamtambo local ka mzee wangu mmoja kanakausha Matunda na yanabaki na ubora wake, bahati mbaya nimepoteza namba zake, ila nitamsaka kwa vyanzo vyangu vingine lkn kilichonishangaza mara ya kwanza nimenunua product yake nikaipeleka nyumbani kila mtu anaponda... mara ooh itakuwa ni chafu, mara ooh haina virutubisho, mara ooh bei kubwa mara ooh sio tamu kama embe halisi.
Wabongo wakisikia kitu kisicho cha kawaida na kimetengenezwa na mwenzao wanageuka maadui. ngoja kwanza nimsake mzee wangu kabla ya kutafiti fursa za hii kitu.
mkuu malengo ni kufika 2020 lazima niwe na product flaniflani kwenye jamii. Mawazo yenu nayaheshimu sana.