REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Kiasi cha ng'ombe zaidi ya 300 na mbuzi 800 huingizwa Kenya kutokea Tanzania kwa week kupitia njia rasmi na zisizo rasmi, daima kilio cha wafugaji wa maeneo hayo kimekua kuhusu bei ya kilanguzi na ya kimabavu kutoka kwa wafanyabiashara wa Kenya
Hatimae kupitia agenda ya JPM chini ya Tanzania ya viwanda jibu kwa wafugaji hawa wa kimaasai limepatikana baada ya kupatikana muwekezaji wa ndani anaejenga kiwanda cha aina yake wilaya ya Longido jirani kabisa na mpaka na Kenya, kiwanda hiki kikubwa na cha kisasa vilevile kinalenga kuliteka soko la Kenya kwa kuwauzia processed meat products