Kiwanda hiki ni pigo Kenya

Kiwanda hiki ni pigo Kenya

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Kiasi cha ng'ombe zaidi ya 300 na mbuzi 800 huingizwa Kenya kutokea Tanzania kwa week kupitia njia rasmi na zisizo rasmi, daima kilio cha wafugaji wa maeneo hayo kimekua kuhusu bei ya kilanguzi na ya kimabavu kutoka kwa wafanyabiashara wa Kenya

Hatimae kupitia agenda ya JPM chini ya Tanzania ya viwanda jibu kwa wafugaji hawa wa kimaasai limepatikana baada ya kupatikana muwekezaji wa ndani anaejenga kiwanda cha aina yake wilaya ya Longido jirani kabisa na mpaka na Kenya, kiwanda hiki kikubwa na cha kisasa vilevile kinalenga kuliteka soko la Kenya kwa kuwauzia processed meat products

Yaani umeandika vizuri sana, tatizo pekee ni pale ulipoiingiza kenya katika hoja yako. Miye nilifikiri kwamba, tunajenga viwanda ili kujiletea maendeleo, kumbu tunajenga ili kuwakomoa wakenya!! aiseee
Kila jambo lina faida na hasara kwenye matokeo yake kati ya pande mbili, hivyo kwa namna moja inakua faida upande wa Tanzania na hasara upande wa Kenya, hivyo ila mradi ni ukweli sio uongo.
 
Kiasi cha ng'ombe zaidi ya 300 na mbuzi 800 huingizwa Kenya kutokea Tanzania kwa week kupitia njia rasmi na zisizo rasmi, daima kilio cha wafugaji wa maeneo hayo kimekua kuhusu bei ya kilanguzi na ya kimabavu kutoka kwa wafanyabiashara wa Kenya

Hatimae kupitia agenda ya JPM chini ya Tanzania ya viwanda jibu kwa wafugaji hawa wa kimaasai limepatikana baada ya kupatikana muwekezaji wa ndani anaejenga kiwanda cha aina yake wilaya ya Longido jirani kabisa na mpaka na Kenya, kiwanda hiki kikubwa na cha kisasa vilevile kinalenga kuliteka soko la Kenya kwa kuwauzia processed meat products

kunyalandi ni lazima wasome namba za kirumi mwaka huu
 
Tehehehe...Inferiority complex ni ugonjwa tupu
Achana na hawa viumbe, ni wa ajabu sana. Kwenye list ya nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuzalisha ngombe wa nyama na maziwa pia hawapo. Kwa kuexport nyama na maziwa, viwanda vya Kenya vimewafunika hadi vina uwezo wa kununua ng'ombe na maziwa ya ziada kutoka kwao. Alafu wapo hapa wakisifia kiwanda kimoja, eti na kwamba hicho kiwanda kimoja kimeshaimaliza Kenya. [emoji1]
 
Kwa Taarifa yako Tanzania ni ya pili kwa idadi kubwa ya ng'ombe Africa, ya kwanza Ethiopia ya pili Sudan

Ndio nawashangaa, kwenye uzalishaji wa maziwa hamjulikani mlipo, nyama pia hivyo hivyo. Mnafuga ng'ombe kama paka au? [emoji15]
 
Kiasi cha ng'ombe zaidi ya 300 na mbuzi 800 huingizwa Kenya kutokea Tanzania kwa week kupitia njia rasmi na zisizo rasmi, daima kilio cha wafugaji wa maeneo hayo kimekua kuhusu bei ya kilanguzi na ya kimabavu kutoka kwa wafanyabiashara wa Kenya

Hatimae kupitia agenda ya JPM chini ya Tanzania ya viwanda jibu kwa wafugaji hawa wa kimaasai limepatikana baada ya kupatikana muwekezaji wa ndani anaejenga kiwanda cha aina yake wilaya ya Longido jirani kabisa na mpaka na Kenya, kiwanda hiki kikubwa na cha kisasa vilevile kinalenga kuliteka soko la Kenya kwa kuwauzia processed meat products

Inferiority complex itasumua wabongo hadi kiama Kwa kweli! Kushamili Kwa uchumi Tanzania ni maendeleo ya jamii huko bongo au ni piga Kwa kenya! Pili, wakenya wamo usingizi hawaangalii maendeleo ya kiuchumi kwao?tatu, Kwa hiyo mifugo kuingizwa kenya ni ishara ya kuwepo soko ambalo halipo tanzania. Itabidi mtu mwingine achukue hiyo nafasi!!!
 
Huku ni kufikiria kiccm ccm mkuu wala usishangae
Yaani umeandika vizuri sana, tatizo pekee ni pale ulipoiingiza kenya katika hoja yako. Miye nilifikiri kwamba, tunajenga viwanda ili kujiletea maendeleo, kumbu tunajenga ili kuwakomoa wakenya!! aiseee
 
Inferiority complex itasumua wabongo hadi kiama Kwa kweli! Kushamili Kwa uchumi Tanzania ni maendeleo ya jamii huko bongo au ni piga Kwa kenya! Pili, wakenya wamo usingizi hawaangalii maendeleo ya kiuchumi kwao?tatu, Kwa hiyo mifugo kuingizwa kenya ni ishara ya kuwepo soko ambalo halipo tanzania. Itabidi mtu mwingine achukue hiyo nafasi!!!
Nimeongea kuhusu bei ya Kenya ni ndogo na wafugaji hulalamika kwa hiyo kupata kiwanda karibu wafugaji watafaidika zaidi and of course Kenya wataumia sababu mifugo waliyokua wakiitegemea kulisha viwanda vyao sasa haitakuwepo.
 
Back
Top Bottom