Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
- Thread starter
- #121
Nashangaa sana kweli na hawa jamaa, yaani, tile factory?? Yaani ni clay Factory kama ile iliyokuwa ya Njenga Karume hapa Claycity Kasarani, wanaringa nayo!!! Dah! Eti tile ni za Kizazi kipya, dah, 5th Generation tiles, hhhhhh, this is just funny. But haya unayatarajia Bongo,
Mwenzao, Suma G aliimba, "Uswahilini kuna vituko"
Mbona unalalamika sana!!? Naona mmepata mchecheto. Kenya ni nchi inayokufa taratibu.