Kiwanda kikubwa cha kisasa cha vigae(Tiles) chazinduliwa Tanzania -East Africa

Kiwanda kikubwa cha kisasa cha vigae(Tiles) chazinduliwa Tanzania -East Africa

Nashangaa sana kweli na hawa jamaa, yaani, tile factory?? Yaani ni clay Factory kama ile iliyokuwa ya Njenga Karume hapa Claycity Kasarani, wanaringa nayo!!! Dah! Eti tile ni za Kizazi kipya, dah, 5th Generation tiles, hhhhhh, this is just funny. But haya unayatarajia Bongo,
Mwenzao, Suma G aliimba, "Uswahilini kuna vituko"

Mbona unalalamika sana!!? Naona mmepata mchecheto. Kenya ni nchi inayokufa taratibu.
 
Mbona unalalamika sana!!? Naona mmepata mchecheto. Kenya ni nchi inayokufa taratibu.

Ni vyema, sababu inakufa kwenye akili yako, akili yako haiwezi kubeba maswala ya Kenya, yanakuzidi kichwa kinachemka
 
Kenya's per capita income is twice that of Tanzania na huyu mpumbavu matako anasema mambo haya ya kizumbukuku kiasi hiki.....i blame your mother for opening her legs to your father and your education system as well...
And this is the difference between me and you. My mother raised me to be a man. Real man. Mwanaume anaejiamini hawezi kuwa na hizi contents ulizoanika hapa in his brain.

Game over!!
 
Siyo mageni wapi wewe. Wakati hicho ni juzi tu kwenu kimeanzishwa. Halafu uzalishaji wake ni mdoooogo sana. Hapa TZ hiki tu cha mkuranga kitatosheleza ndani na tutauza nje. Sijui nyie mtakuwa mnauza nchi gani maana karibia nchi zote karibu na ninyi ni strategy za Tanzania na kwetu uzalishaji ni cheap. Kwahiyo bei itakuwa chini.
Ndio maana nikakwambia jaribu sana kufuata zile video nilikupa. Upanuzi bado unaendelea kwa ajili ya uzalishaji zaidi. Uko na uhakika hizo zenyu mtapata soko huku kwetu? La hasha! tafutieni kwengineko.
 
Back
Top Bottom