Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
 
Msimu huu sitashangaa tukiambiwa hata dhahabu INALIMWA kwa wingi Tanzania.

Ndio ule msimu wanatuambia chochote.
 
Wanazalisha aina gani ya cement na bei yao ikoje mkuu? Na kiwanda kipo kigoma sehemu gani?
 
Pongezi nyingi ziende kwa mama Samia kwa kigoma wapinzani wasijisumbue kuja kufanya kampeni
 
Tatizo una haraka nimeshindwa kuelewa ulichoandika
 
Back
Top Bottom