malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Nikweli na kabisa mim mwenyewe nimununua nauzaMsimu huu sitashangaa tukiambiwa hata dhahabu INALIMWA kwa wingi Tanzania.
Ndio ule msimu wanatuambia chochote.
Cement Yao inaitwa qiliniWanazalisha aina gani ya cement na bei yao ikoje mkuu? Na kiwanda kipo kigoma sehemu gani?
Unauza bei ganiNikweli na kabisa mim mwenyewe nimununua nauza