Tetesi: Kiwanda kipya cha sigara,Kingorwila Morogoro ukweli ni upi?

umeeleza vizuri sana, Philip morris au kwa kifupi "PMI" ndio mnunuzi mkubwa wa tumbaku inayozalishwa Tanzania chini ya Alliance one na Tltc(30mil kg, kwa makadirio),
alliance one na tltc wana viwanda vikubwa sana hapo morogoro lakini hawatengenezi final product Bali wanafanya processing then inasafirishwa nje ya nchi kwa ajili ya kutengenezwa final product, sasa kitendo cha wao kuja kufungua kiwanda ambacho kinatengeneza final product hapahapa nchini ni jambo kubwa sana na la kimaslahi kwa taifa.
kwa kuweka kumbukumbu sawa kiwanda cha sigara cha TCC kinamilikiwa na JTI na JTi sio mnunuzi mkubwa sana wa tumbaku Tanzania ukilinganisha na Philip morris, hvyo hicho kiwanda kitakuwa kikubwa sana chenye tija!
[HASHTAG]#uvutaji[/HASHTAG] wa sigara ni hatari kwa afya yako#
 
Sasa Mkuu ajira tunazipataje haswa sie tusiokuwa na watu tunaowajua humo ndani? Maana kipindi hiki kila kitu mpaka ujuane na mtu
 
Sasa Mkuu ajira tunazipataje haswa sie tusiokuwa na watu tunaowajua humo ndani? Maana kipindi hiki kila kitu mpaka ujuane na mtu
ajira walitangaza na mfano wa ajira waliyotanganza ilikuwa ya marketing kama ntakuwa sijakosea! ila ingia kwenye website yao.
note;
Philip morris ni kampuni kubwa sana duniani, yaani sana , hvyo unapoomba kazi hakikisha umeandika vizuri CV na barua yako. ukipata kazi huko, utakuwa umeula na umaskini utauskia kwa jirani
 
Na nyie wapinzani wa bongo tuelezeni vision yenu sio kila siku kukosoa kila kitu..hapo ndio naona upinzani uchwara wa bongo ni seti tupu hamna kitu mnarukia matukio. Hovyoo kabisa.
 
Ukiona kimya ujue jina lakp halikuchaguliwa usitafute sababu ya kutoona majina akaunganisha na mambo mengine
 
uongozi huu ili uende nao sawa we danganya ili kumfurahisha mkuu .
 
Ukiona kimya ujue jina lakp halikuchaguliwa usitafute sababu ya kutoona majina akaunganisha na mambo mengine
Mkuu hakuna kweli inawezekana walioomba wote wakawa hawana sifa? Au ni mda bado tu wa kuwaita
 
Promo at work
 
Mkuu naweza kukufata pm? Naona kama unanigonga kichwani nikisoma comments zako! Sory lakini kama utakwazika.
 
Natamani sana nipige kazi za tumbaku mkuu,nimeizoea tumbaku tangu kwenye makaratasi,nursery, field,,kuvuna,kuikausha,kuipaki,kuigrade,na kuipaki direct kwenye maboxt kwa mda wa miaka mitatu! Niko eddicted haswa na hili zao nalipenda japo sipendi kulitumia
 
Nina viwanda vingi sana vilikuwa havijazinduliwa..
1. Cha maandazi na kashata
2. Cha Bisi
3. Cha kushona viatu

Kesho tunazindua hapa Kilwa, karibuni wote
 
ulikuwa unafanyia wapi kazi? mkoa gani na kampuni gani?
 
Nchi za dunia ya kwanza wanafunga viwanda vya sigara na bidhaa za tumbaku ndio maana huoni vkiruhusiwa kujitangaza.
Sasa hawa wauwaji wameamua kuhamishia sumu zao Shithole countries.
Ntajie kiwanda kilichofungwa
 
Na nyie wapinzani wa bongo tuelezeni vision yenu sio kila siku kukosoa kila kitu..hapo ndio naona upinzani uchwara wa bongo ni seti tupu hamna kitu mnarukia matukio. Hovyoo kabisa.
Huyo jamaa hapo chini ana mwenzie anaitwa salary slip kazi yao ni kupinga chochote kila cha serikali.
uongozi huu ili uende nao sawa we danganya ili kumfurahisha mkuu .
 
Waongo hao PMI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…