Sidhani kama ni promo,hii kampuni ni kubwa sana duniani mkuu na wana vigezo na masharti mengi sana mpaka wakubali kununua tumbaku yako ww kama kampuni inayonunua kutoka kwa mkulima huko field na kuprocess.
Hawa jamaa hawahitaji promo maana wameishika hii biashara sana na ni kama wanaamua bei wenyewe..ila ishu ya ajira 200 sidhani kama ni sawa coz jamaa hawapo field kama Alliance One,TLTC,Premium Active na JTI sasa hao watu 200 wapo wapi?hzo ajira za marketing hapo majuzi hazikuzidi 6 na ni baadhi tu ya mikoa ambako wameanza kusambaza hizo brands zao sana sana mikoa ya kaskazini Moshi na Arusha..
PMI,JTI,BAT,KT&G,CT hawa ni giants.