Tetesi: Kiwanda kipya cha sigara,Kingorwila Morogoro ukweli ni upi?

Mh,uko serious?
 
Promo at work
Sidhani kama ni promo,hii kampuni ni kubwa sana duniani mkuu na wana vigezo na masharti mengi sana mpaka wakubali kununua tumbaku yako ww kama kampuni inayonunua kutoka kwa mkulima huko field na kuprocess.

Hawa jamaa hawahitaji promo maana wameishika hii biashara sana na ni kama wanaamua bei wenyewe..ila ishu ya ajira 200 sidhani kama ni sawa coz jamaa hawapo field kama Alliance One,TLTC,Premium Active na JTI sasa hao watu 200 wapo wapi?hzo ajira za marketing hapo majuzi hazikuzidi 6 na ni baadhi tu ya mikoa ambako wameanza kusambaza hizo brands zao sana sana mikoa ya kaskazini Moshi na Arusha..

PMI,JTI,BAT,KT&G,CT hawa ni giants.
 
Nchi za dunia ya kwanza wanafunga viwanda vya sigara na bidhaa za tumbaku ndio maana huoni vkiruhusiwa kujitangaza.
Sasa hawa wauwaji wameamua kuhamishia sumu zao Shithole countries.
Nchi za dunia ya kwanza wanafunga viwanda vya sigara na kuzindua karakana za missiles.
 
Ajila kwenye kiwanda iko zimekuwa kitendawili bila lushwa ya ela ama ngono kwenye kiwanda hiko aupati ajila unaonga laki mshaala 150 raisi bado yupo tuu kiki kila siku anafungaua viwanda bila kujali kusimamia miongozo ya ajila na shelia za kazi pinfi wawepo kazini
 
In kiwanda cha Marboral! au kingine? Kama ni hiki nakumbuka kilizinduliwa! Na sigara zake ziko mitaani.
 
viwanda vingi wanaume ndo wanaofanya kazii kuliko wanawakee, sema mpaka upate mtu akuanganishiee
 
Wameishika biashara wapi?labda nchi nyingine ila sio Tanzania?na hapo ulipoandika JTI na TCC ni kama kuandika ITV na IPP kama washindani au watengeneza bidhaa tofauti
 

Hivi utalii nao unawekewa jiwe la msingi. Jiwe la msingi si linawekwa kwa construction projects kama majengo, barabara, madaraja, viwanja vya ndege kuashiria official takeoff? Sasa kama kuna pori la mwenyezi Mungu toka kuubwa kwa dunia unaweka jiwe la msingi kushiria nini?
 
Wameishika biashara wapi?labda nchi nyingine ila sio Tanzania?na hapo ulipoandika JTI na TCC ni kama kuandika ITV na IPP kama washindani au watengeneza bidhaa tofauti
Mkuu kama haupo kwenye hii industry kaa tu kimya itapendeza zaidi.Kuhusu JTI na TCC najua sana na ndio maana nimeandika kimoja na si vyote kwa mpigo.
 
Mkuu kama haupo kwenye hii industry kaa tu kimya itapendeza zaidi.Kuhusu JTI na TCC najua sana na ndio maana nimeandika kimoja na si vyote kwa mpigo.
Haihitaji kuwa kwenye Industry mkuu kujua kwamba TCC ina market share ya 97%sasa hao wengine unasemaje wameshika soko!unatumia vigezo gani kujua mtu hayupo kwenye hiyo "industry"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…