NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Baada ya salamu Sina budi kwenda moja kwa moja kwenye point ya kichwa Cha habari hapo juu.
Baada ya sub ya kutoka Mudathiri nakuingia feisal salumu, hakika bwana mdogo kawa mzito hata kwenye receiving ball yake unaona kabisa Hana mazoezi yakutosha.
Kufanya mazoezi na wachezaji wa mchangani ni tofauti kabisa nakufanya mazoezi na ma professional players kwani inakujenga kiakili nakutanuka kifikra zaidi tofauti na wachezaji wa mchangani.
Nafikiri waliomdanganya feisal salumu walishaliona Hilo kwa kupitia mchezo alizocheza akiwa na jezi ya taifa stars.
Habari tunazo waliomdanganya feisal salumu akimbie yanga ndiyo hao hao wamemfanyia mpango aitwe taifa stars.
Mliomdanganya bwana mdogo kaeni mkitambua kuwa mnaua kipaji chake japo kuwa mnaleta siasa na mkidhani kuwa mnajenga kumbe mnabomoa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app