Kiwango Cha bwana mdogo Feisal Salumu kinazidi kutitia kwenye tope zito la udongo mfinyanzi

Kiwango Cha bwana mdogo Feisal Salumu kinazidi kutitia kwenye tope zito la udongo mfinyanzi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Baada ya salamu Sina budi kwenda moja kwa moja kwenye point ya kichwa Cha habari hapo juu.

Baada ya sub ya kutoka Mudathiri nakuingia feisal salumu, hakika bwana mdogo kawa mzito hata kwenye receiving ball yake unaona kabisa Hana mazoezi yakutosha.

Kufanya mazoezi na wachezaji wa mchangani ni tofauti kabisa nakufanya mazoezi na ma professional players kwani inakujenga kiakili nakutanuka kifikra zaidi tofauti na wachezaji wa mchangani.

Nafikiri waliomdanganya feisal salumu walishaliona Hilo kwa kupitia mchezo alizocheza akiwa na jezi ya taifa stars.

Habari tunazo waliomdanganya feisal salumu akimbie yanga ndiyo hao hao wamemfanyia mpango aitwe taifa stars.

Mliomdanganya bwana mdogo kaeni mkitambua kuwa mnaua kipaji chake japo kuwa mnaleta siasa na mkidhani kuwa mnajenga kumbe mnabomoa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli. Jamaa anaonekana kanenepa kabisa. Alijaribu kupiga ile faulo kwa shuti lakini likawa la kawaida na kuzuiliwa, nahisi jama alishtua nyonga kabisa baada ya lile shuti.

Jamaa amekuwa mzito kwakweli.

Hiyo namba ya Feisal ilikuwa ni ya Sure Boy ili kuichezesha timu
 
Na angecheza hata dakika 50 hakika angekata Moto
Dogo kawa kibonge ni shida sana aise.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanzibari wana nidhamu sana na wanajitunza,nina Iman atalinda kipaji chake! Topolo uchawi wenu hauvuki bahari.
 
Kiburi si maungwana hata kidogo kimaisha.

Mfalme Nebuchadnezzar alikiona cha mtema kuni alipojikweza aliishia kwenda kondeni tu kusota vya kutosha.

"Ajikwezaye atashushwa, na atayejishusha atakwezwa" ni maneno ya Yesu wala si mimi.
 
Only a fool would say that.....
Wanaouvunjika miguu wanakaa mwaka huwa inakuwaje kipaji huwa kinakufa?
Watu wanatembelea magongo wakirudi moto upo palepale.
Said Hamis alicheza vibaya vp na yeye waliomshauri walimdanganya?

FEI HATORUDI YANGA ZOEENI MAISHA BILA YEYE.
 
Nafikiri point sio kurudi yanga. Yanga Isha prove kuwa inafanya poa hata bila yeye.

Ila uhalisia ni kuwa ana washauri wabaya, madhara ya ujinga i.e. ujinga unamgharimu
 
Yaani wewe ni poyoyo tu aisee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Only a fool would say that.....
Wanaouvunjika miguu wanakaa mwaka huwa inakuwaje kipaji huwa kinakufa?
Watu wanatembelea magongo wakirudi moto upo palepale.
Said Hamis alicheza vibaya vp na yeye waliomshauri walimdanganya?

FEI HATORUDI YANGA ZOEENI MAISHA BILA YEYE.
Kuvunjika mguu siyo hoja wewe
Katazame kiwango Cha balama mapinduzi
Hasani dilunga akirudi usitegemee kiwango kile kile

Hayo Mambo yanawezekana ulaya tu siyo bongo kichwa maji wewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri point sio kurudi yanga. Yanga Isha prove kuwa inafanya poa hata bila yeye.

Ila uhalisia ni kuwa ana washauri wabaya, madhara ya ujinga i.e. ujinga unamgharimu
Na fei ashaprove hazilipwa "peanuts"........

Mwenye washauri wazuri nani? Ngassa?

Alijituma kijana wa watu vipi aliambulia nini?
 
Muandishi una hoja fupi sana na zisizo na mashiko. Hivi mtu anacheza mpira ili apate nini? Wachezaji huwa wana ndoa na timu au wanaangakia maslshi? Hawa wachezaji wa kigeni waliojaa yanga wameletwa na maslahi sindio? Kuna kisa gani kwa Feisal kuangalia maslahi yake?
Yani mtu akitaka kuhama yanga ni amedanganywa na watu? Hapo yanga ni mbinguni?
Mbona hamumgusi mwanasheria Morison?
Embu ifike mahali tujitambue tuache vipaji vya wachezaji wetu vikue kwa faida ya taifa na familia zao tuache u Simba na u yanga.
 
Back
Top Bottom