Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Nimeshangaa sana watu wanachukulia poa ishu za U.T mambo yote hapahapa bara na kisiwani.
Ongezea (huwa wanafunikwa vitambaa vyeusi trainees) wasijue waendapo na njia na wala wakifika hawaambiwi hapa ni wapi.
 
Mzee wa kununua tai
 
Sasa hili nalo jipyaa mjini?
Nani hajui khanga ni mwanaume wa Magomeni?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅 Kanga sio?? Kwamba ameleft group????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…