Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Nimeshangaa sana watu wanachukulia poa ishu za U.T mambo yote hapahapa bara na kisiwani.
Ongezea (huwa wanafunikwa vitambaa vyeusi trainees) wasijue waendapo na njia na wala wakifika hawaambiwi hapa ni wapi.
 
Usiwe na mawazo mgando. Jali sana heshima kuliko ukwasi. Ukipata habari za hawa matajiri jasho litakutoka hasa hivi vijana vya siku hizi wengi upinde wa mvua ndio sehemu zao za kupatia maisha. Hapo ulipo furahi kipato chako. Zama zile kulikuwa na mzee mmoja maarufu sana akifanya kazi PPF akaja ATCL kafumua sana vijana marinda kwa tamaa zao.
Mzee wa kununua tai
 
Back
Top Bottom