Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa sana watu wanachukulia poa ishu za U.T mambo yote hapahapa bara na kisiwani.Huo ni uongo! Kambi za U.T zinafanyikaga hapahapa nyumbani bongo kusikojulikana!
Anayesafiri ni Jasusi au Interpol na hizo level ni kubwa sana!
Ongezea (huwa wanafunikwa vitambaa vyeusi trainees) wasijue waendapo na njia na wala wakifika hawaambiwi hapa ni wapi.Nimeshangaa sana watu wanachukulia poa ishu za U.T mambo yote hapahapa bara na kisiwani.
Mwaka 92 alikuwa darasa la ngapi?Namfahamu toka akisoma Mnazi Mmoja Primary School 1992
Kahitimu Form Four tu
Ana Cerificate ya uandishi wa habari
OkayMwaka 92 alikuwa darasa la ngapi?
Mzee wa kununua taiUsiwe na mawazo mgando. Jali sana heshima kuliko ukwasi. Ukipata habari za hawa matajiri jasho litakutoka hasa hivi vijana vya siku hizi wengi upinde wa mvua ndio sehemu zao za kupatia maisha. Hapo ulipo furahi kipato chako. Zama zile kulikuwa na mzee mmoja maarufu sana akifanya kazi PPF akaja ATCL kafumua sana vijana marinda kwa tamaa zao.
😅 Kanga sio?? Kwamba ameleft group????Sasa hili nalo jipyaa mjini?
Nani hajui khanga ni mwanaume wa Magomeni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee.......kwa Uchina ningekubali.Kwa hapa US kuna vidonge unapewa unakunywa, kizungu kinaflow chenyewe tu.
Acha wivu mwenzio amefanikiwa ki maisha mwezi Jana alikuwa na ziara ya nchi kadha ulaya na Marekani wakati wewe hujawahi kutoka Kakonko😡Ana elimu ya hapa na pale, vipi kwani.