Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Ila hii nchi kwanini tumeweka matarajio chini sana yaani mtu akiwa anafanya vizuri na ana vijihela inaonekana kama ni kitu hakiwezekani lazima kuna kitu hasi kwake.

Ifike mahali kama taifa tujiamini na tuwaze mambo makubwa. Hv kweli taifa kubwa hili ni ajabu mtu kusafiri, labda kwenda mwezini na sayari za mbali ndio iwe jambo la ajabu. Tuache hulka za kuchukia kila aliye nacho kidogo.
 
yaani mtu akiwa anafanya vizuri na ana vijihela inaonekana kama ni kitu hakiwezekani lazima kuna kitu hasi kwake.
Mkuu, wewe una unusu-hasi, kusema ana vijihela ni kama unakuwa sawa na hao wanaoona vitu haviwezekani. Yaani ni kama haukubali kuwa huyo mtu ana hela
 
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Ndugu yangu hiyo ELIMU aliye pata (KITENGE) na anaendela kuipata ya kuwa na EXPOSURE ya maisha tofauti tofauti NCHI tofauti anazo kwenda elimu tosha kumzidi yule mwenye MASTER DEGREE ya vyuo vya TZ.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom