Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mkuu Kitenge sio mmoja wao...
Mtu ana media yaje, anajulikana ofisi yake, ya nini kuleta umbea jf!!
Muulize direct..
Ushamba...Ika jombaa inaelekea unapaki kwa vitu vya ovyo sana
Ushamba...
Hunijui. Ila kwa mwandiko wako inatosha kwa leo dogo..Au kaka yako nini? Punguza makasiriko huwezi juwa kama watu wanataka kumpa cheo
Bi Mkola aka bi Hindu wa mjemgoni?Ameunga unga ka bi mkola.
Na Robert MwampembwaBi Mkola aka bi Hindu wa mjemgoni?
Hunijui. Ila kwa mwandiko wako inatosha kwa leo dogo..
BA in Media Studies (University of Cape Town)
Mkuu, wewe una unusu-hasi, kusema ana vijihela ni kama unakuwa sawa na hao wanaoona vitu haviwezekani. Yaani ni kama haukubali kuwa huyo mtu ana helayaani mtu akiwa anafanya vizuri na ana vijihela inaonekana kama ni kitu hakiwezekani lazima kuna kitu hasi kwake.
Ndugu yangu hiyo ELIMU aliye pata (KITENGE) na anaendela kuipata ya kuwa na EXPOSURE ya maisha tofauti tofauti NCHI tofauti anazo kwenda elimu tosha kumzidi yule mwenye MASTER DEGREE ya vyuo vya TZ.Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
🤣🤣🤣🤣hii sijawai isikiaAna elimu ya hapa na pale, vipi kwani.