Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kama mimi ninavyolisha mumeo?
Unaleta kinyeo mbele ya wanaume, Tutapita nacho dada. Kakitulize nyumbani kwa matumizi ya bwana wako.
kapembue mchele muda ndio huu mumeo ashibe akishindilie vizuri kinyeo uchoke ukose muda wa kuja kupitisha kinyeo hapa JF.
 
Kama nilivyokupitia jana umesahau?
Unaleta kinyeo mbele ya wanaume, Tutapita nacho dada. Kakitulize nyumbani kwa matumizi ya bwana wako.
kapembue mchele muda ndio huu mumeo ashibe akishindilie vizuri kinyeo uchoke ukose muda wa kuja kupitisha kinyeo hapa JF
 
Hapana kusema ana vijihela na maanisha ana hela ndogo tu za kawaida, kwasabbau wenye pesa nyingi wapo na wanafahamika akina Bakhresa, Abood, Hans Macha, Davis Mosha, Ally Awadh, Fida Hussein, Rostam, GSM, Mo Dewji n.k. Yeye ni sahihi kusema ana vijihela kwasababu ni muajiriwa na pengine ana biadhara zake ndogondogo.
Mkuu unamjua mpk Hans Macha !!!
 
Namfahamu toka akisoma Mnazi Mmoja Primary School 1992

Kahitimu Form Four tu
Ana Cerificate ya uandishi wa habari
Duh kumbe Elimu yake ndogo sana, angejiendeleza Sasa hivi anagalau angekuwa na B.A yake safi kabisa anyway kama anapata hela Kwa elimu yake Ile ile ya certificate safi tu,
 
Unauliza jibu upo dsm lakini umejichimbia bunyokwa tembea na wengine ukikutana nao huwezi kuamini utaishi kwa hofu ni wakubwa sana

Kuna tukio moja nilishuhudia mlimani pale sijawai msimulia mtu maana nahisi kama nafwatiliwa ni jamaa mtu mkubwa sana hapa tz na ana heshima kubwa sana niishie hapo
Ebana mwanangu sana hebu nipe udaku PM... ni nani huyo analiwa tope?! 😃
 
Mkimalizana na hili mtuambie na Ommy Dimpoz ana elimu gani?! Au ile Division foo yake ya twenty something kutoka Mbezi ice-cool ndo ilimpa kazi GSM?! Au ndo 😋🤤

😅😅😅👍🏾
 
Back
Top Bottom