Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na mawazo mgando. Jali sana heshima kuliko ukwasi. Ukipata habari za hawa matajiri jasho litakutoka hasa hivi vijana vya siku hizi wengi upinde wa mvua ndio sehemu zao za kupatia maisha. Hapo ulipo furahi kipato chako. Zama zile kulikuwa na mzee mmoja maarufu sana akifanya kazi PPF akaja ATCL kafumua sana vijana marinda kwa tamaa zao.Hafu kakuzidi hata kwa Mkwanja.
Mume wa Defoe? Hadi alilazwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Usiwe na mawazo mgando. Jali sana heshima kuliko ukwasi. Ukipata habari za hawa matajiri jasho litakutoka hasa hivi vijana vya siku hizi wengi upinde wa mvua ndio sehemu zao za kupatia maisha. Hapo ulipo furahi kipato chako. Zama zile kulikuwa na mzee mmoja maarufu sana akifanya kazi PPF akaja ATCL kafumua sana vijana marinda kwa tamaa zao.
Kufatilia Maisha ya Watu itakusaidia nini badala ya kutafuta hela!!!Usiwe na mawazo mgando. Jali sana heshima kuliko ukwasi. Ukipata habari za hawa matajiri jasho litakutoka hasa hivi vijana vya siku hizi wengi upinde wa mvua ndio sehemu zao za kupatia maisha. Hapo ulipo furahi kipato chako. Zama zile kulikuwa na mzee mmoja maarufu sana akifanya kazi PPF akaja ATCL kafumua sana vijana marinda kwa tamaa zao.
Kuchangia tu huku unafuatilia maisha. Nisije kuwa nabisha na Maiko skof bure maana unajiita powder. Mimi nina hela zangu zinanitosha sana sitaki ukwasi wa kupeleka mwili Uturuki na Msrekani ili uwe tajiri. Acha papara.Kufatilia Maisha ya Watu itakusaidia nini badala ya kutafuta hela!!!
Ni Mufi kama wewe ndo wanatabia za kufatilia Maisha ya Watu...!
Ufala huu…. Acha kufuatilia watuMwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Mjukuu mke wake kashaanza kuliwa na wana aiseee duh mbona mapema sanaYeah huyo huyo mjukuu WA babu yetu. Huyo alifumaniwa na demu kabisa(sijui mkewe) . Wako sitting room na jamaa mmoja hivi maarufu maana aliwaacha wakicheza haya fifa games saa 2 fulani usiku. Dada WA watu kuamka saa 6 hamuoni jamaa bed si ndio akajisogeza sitting room anawakuta wanakulana mate. Ilikuwa kesi kubwa... Sema ikaisha kimya kimya ndio demu nae akawa analiwa na huyu Jamaa anaekti movies sijui huba mwanamuziki anayeimba Fasta fasta........na ni msela WA mjukuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu mjukuu sijui alianza lini haya MAmbo alikuwa frsh tu. Tume Cheza nae sana soka mtaani mwenge.
Halafu ndoa haina hata miaka 5 duhDahh!... yaan mwamba una mke ndani unaenda kulila mate pelo! Unalila mate dume lenzio... yaan ndevu kwa ndevu😔😔😔
Dahh! *****!... wife ka-revenge anaenda kuliwa kote na mbongo muvi😔
Nae anapunguza hasiraMjukuu mke wake kashaanza kuliwa na wana aiseee duh mbona mapema sana
Lina hips hilooo nae kichwa chake naona sio kizuriNae anapunguza hasira
Oya nakupa kombe 😆🏆basi lala upumzike,tutazungumza kesho sawa yakhe,usisahau kupiga pasi ule msuli wangu na baghalashia yangu sawa yakhe.
😅Oya nakupa kombe 😆🏆
Pesa huna wewe.......Mtu mwenye pesa anapata wapi Ujinga wa kuuliza habari za Maisha ya Mtu mwingine, Maulidi sio Mtumishi wa Umma wala sio Mwanasiasa!Kuchangia tu huku unafuatilia maisha. Nisije kuwa nabisha na Maiko skof bure maana unajiita powder. Mimi nina hela zangu zinanitosha sana sitaki ukwasi wa kupeleka mwili Uturuki na Msrekani ili uwe tajiri. Acha papara.
Swanglish.Akifika Marekani anaongea lugha gani?
Wanawavua ubingwa?Mume wa Defoe? Hadi alilazwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sahiv wazee wa mjengoni wana waharibu vijana wa chuo, had huruma mweeeeh.
Wanawake na nyie mnapitia mengi jaman😅Hata huyu mkewe alirudi kwao, ila alibembelezwaa atulie kulinda heshima ya mumeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia ina mengiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mfano rahisi yule wa silent ocean na kaka yake GSM...Usiwe na mawazo mgando. Jali sana heshima kuliko ukwasi. Ukipata habari za hawa matajiri jasho litakutoka hasa hivi vijana vya siku hizi wengi upinde wa mvua ndio sehemu zao za kupatia maisha. Hapo ulipo furahi kipato chako. Zama zile kulikuwa na mzee mmoja maarufu sana akifanya kazi PPF akaja ATCL kafumua sana vijana marinda kwa tamaa zao.
Jibu swali la mtoa mada. Ana Kiwango gani cha elimu?Bongo mambo yakiwa yanakuendea poa wataanza kuchokonoa chanzo chako,
Elimu ni tofauti kabsa na kiwango chako cha uchumi havihusiani
Kuweza kufanikisha mambo yako na elimu ni vitu viwili tofauti
Mwacheni mwamba aendelee king’aa kapambana na bado anapambana sanaa.
Nakumbuka alipangaga nyumba kinondoni, watoto wa kino wakamuibiaga,
Pambana brother, bongo ukifanikiwa watakuita sio ridhiki mara una uchawi mara muuza dawa ilimradi tu hawawezi kukufikia kwa chochote maneno ndio nafasi ya kuwatoka