Kiwango cha juu ya kumuamini Mungu ni kuishi kama Shetani hayupo kabisa Wala hakuhusu

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu.
Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii.

Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu nyingine ya Shetani.

Kwa mtu wa imani kuamini hivi ni kosa baya sana. Unatakiwa kuamini mwenye NGUVU ni mmoja tu Yesu. Vingine vyote kama vinanguvu ni KWA wanaovipenda.

Utafanya biashara hutasikia mambo ya Uchawi
Utaenda popote duniani bila kuhofu chochote
Utakuwa kiumbe huru kuliko vyote duniani.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi
 
Kabisa.
 
Back
Top Bottom