JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ripoti ya CAG ya Mwaka 2019/20 imejibu kilio cha wanufaika wengi wa Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia (HESLB)
Ripoti imebaini makato hayo ni makubwa sana na yanavunja Sheria ya Marejesho
Upvote
0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo alikuwa haambilikiMwamba alikuwa anaikanyaga katiba...Vilivo..... Transparency haikuwepo... Na hii ni hatari... Niliyokuwa nikiiona... Madudu ni mengi sana.... Na yalikuwa yanafichwa
Mtu jiwe mwambaTatizo alikuwa haambiliki
Dah! Ni suala la muda tu, tutasikia na tutaona mengi sana.View attachment 1747330
Ripoti ya CAG ya Mwaka 2019/20 imejibu kilio cha wanufaika wengi wa Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia (HESLB)
Ripoti imebaini makato hayo ni makubwa sana na yanavunja Sheria ya Marejesho