Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani naomba kujuzwa kuwa kiwango cha mishahara kwa walimu wapya ngazi mbali mbali ikoje?
walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM
Jamani naomba kujuzwa kuwa kiwango cha mishahara kwa Walimu wapya ngazi mbali mbali ikoje?
umeniitia nini wee babu
walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM
walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM
Certificate 316,000
Uje uwaambie vijana mshahara wao tarajali...
Kuna Siri gani hapo sasa..walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM
mambo ya ethics kiongozi...mshahara wa mtu ni siri yake na muajiri wake...:tape2: