Kiwango cha Mishahara Walimu Wapya

Kiwango cha Mishahara Walimu Wapya

Mahug

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
36
Reaction score
7
Jamani naomba kujuzwa kuwa kiwango cha mishahara kwa Walimu wapya ngazi mbali mbali ikoje?
 
walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM
 
walim wenzangu , yanayo tuhusu wenyewe tuulizane kwan kuanika siri zetu si vizuro
 
Jamani naomba kujuzwa kuwa kiwango cha mishahara kwa Walimu wapya ngazi mbali mbali ikoje?

Subir upangiwe uende kazini ndo uanze kuteta usiwe na haraka tena mshahra mkubwa kuliko bum ila utaona bum linatosha kuliko mshahara
 
walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM

yaani kuna wati wana matatizo jaman cjui laana. mtu yuko free tu ukiangalia hao ndo wanaambiwa wamevamia fani cjawah ona waalimu kama hawa . halafu tunajiuliza kwanini watoto wanafeli wakati sababu inaonekana .
 
walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM

Unamaanisha walim ni wambea na hawajui kuwa mshahara ni siri??
 
walimu mbona nyie wepesi sana wakutoa sir zenu?.hivi mnajua kuwa sio wote walimu humu? hata kama aliyekuuliza unamfahamu mtumie PM
Kuna Siri gani hapo sasa..
Nani hajui kuwa mwalimu wa shahada anaanza na TGTS D, Diploma TGTS C na Cheti ni TGTS B,, wambieni ili wajiandae kisakolojia.. Hii ni dunia ya utamdawazi JAMANI tubailikeni
 
mambo ya ethics kiongozi...mshahara wa mtu ni siri yake na muajiri wake...:tape2:

Kuna siledi ya mishahara ya Serikali, ina maana tunakosea? Mbona mishahara ya bunge kila leo tunaisikia?
 
Back
Top Bottom