Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Wewe mnywaji wa bia uko salama kabisaInaonekana bia haina sukari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mnywaji wa bia uko salama kabisaInaonekana bia haina sukari?
Situmii bia nimewaza kwa sauti tuWewe mnywaji wa bia uko salama kabisa
Hapa saa hizi nakunywa chai vijiko vi3 tangia asubuhi ni vijiko 50 ukijumlisha na sodaNakunywa soda kila siku tangu nimeanza kujitambua. Ningekuwa nishakufa sasa hivi.
Elewa neno uwezekano, kuna mtu anavuta sigara mpaka na miaka 95, mwingine anavuta moja au mbili anaparalaizi. Kinachofundishwa ni ili ujihami, na hapo ujue wanajitutumua tu kuweka wazi wanajua tusipoumwa biashara hazitafanyika, kimsingi kwa mwanaume hata hivyo tisa ni vingi.Nakunywa soda kila siku tangu nimeanza kujitambua. Ningekuwa nishakufa sasa hivi.