Elewa neno uwezekano, kuna mtu anavuta sigara mpaka na miaka 95, mwingine anavuta moja au mbili anaparalaizi. Kinachofundishwa ni ili ujihami, na hapo ujue wanajitutumua tu kuweka wazi wanajua tusipoumwa biashara hazitafanyika, kimsingi kwa mwanaume hata hivyo tisa ni vingi.