BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ni basi tu Wakenya wamepinda kama Wazulu wa South Affruca ila unapo kuja kuangalia kiwango cha Viongozi kuwasikiliza wananchi, basi Kenya kuna unafuu ukilinganisha na Tanzania, shida iko tu kwamba Tanzania ni mazeseta basi.
Viongozi wamejawa sana na Viburi na Dharau sana n kebehi, nakumbuka Mwigulu aliwahi waambia watu wahamie Burundi, ile statment huwezi itoa kwa raia wanao jitambua wataliamusha mbaya sana, Watanzania hata ukiwambia geukeni watageuka.
Angalia Kariakoo jana, Mkuu wa Mkoa anaenda na ukuu wake na anaongea kwa kebehi na wajinga wakakaa kweli kumsikiliza, ingekuwa ni Pale Nairobi kwa sasa tungekuwa tumekalia majamvi.
Viongozi wana Dharau sana, na Viburi juu yake, na usiombe sasa ukutane na Wakuu wa wilaya na Mikoa hao dharau na viburi walivyo navyo sio vya levo hii. Hawa ni kama Mungu kabisa wa Duniani.
Tushukuru tu ndivyo tulivyo umbwa na ukilema wa ujinga.