Kiwango cha Viongozi kutowasikiliza Wananchi kiko juu kwa Tanzania kuliko Kenya

Kiwango cha Viongozi kutowasikiliza Wananchi kiko juu kwa Tanzania kuliko Kenya

Viongozi wengi wa Tanzania wameiba pesa nyingi Sana na Sasa wamekua matajiri wakubwa wenye mabiashara ya petrol station, mabasi ya mikoani, timu za mpira, kampuni za kubeti na nyumba za kupangisha .
Sasa tajiri hawezi kumsikiliza MTU anayedhani Hana pesa.
Kwanza ana ona wanànchi Kama wananuka kinyesi kwa umaskini walio nao.
 
Siasa za Ujamaa na kujitegemea zimetulemaza tuliaminishwa kuwa hata kufikiri tusifikiri tumuachie Mwenyekiti wa CCM yeye ndie afikirie na sisi tukabakishwa kama Mazombi tukabakia tunapayuka "...zidumu fikra za Mwalimu Nyerere ZIDUMUU!!!..."
Yaani we acha tu ili ufanikiwe ni Kwa juhudi binafsi siyo kwa mifumo iliyop, asilimia 80 ya mafanikio katika biashara yana mtegemea mjasiriamali lakini asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzinguka hii asilimia 20 inanguvu hata kuua biashara endapa jamii itakuwa mfu, yaani jamii ya bora liende, (inayopokea kila kitu)
 
Yaani we acha tu ili ufanikiwe ni Kwa juhudi binafsi siyo kwa mifumo iliyop, asilimia 80 ya mafanikio katika biashara yana mtegemea mjasiriamali lakini asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzinguka hii asilimia 20 inanguvu hata kuua biashara endapa jamii itakuwa mfu
Na sio kwamba hatuwezi kutoka hapa tulipo tunaweza sana ila hawa CCM wameishiwa na Ideas kwenye Ujamaa hawapo kwenye Uliberali hawapo kwenye Ubepari hawapo wamebaki na Siasa za Kiswahili swahili Nchi wameifanya Kijiwe cha Kahawa.
 
Ndiyo maana wanaahirisha kufikiri kwa nafsi, a. k. a kujizima data cha ajabu akili zilezile zilizo tengeneza tatizo haziwezi kutatua changamoto, yaani yasiyoyatarajiwa, (uncertainty)
 
Ndiyo maana wanaahirisha kufikiri kwa nafsi, a. k. a kujizima data cha ajabu akili zilezile zilizo tengeneza tatizo haziwezi kutatua changamoto, yaani yasiyoyatarajiwa, (uncertainty)
Ndio maana tunasema Chama cha Demokrasia na Maendeleo nacho tukipe CHANCE kituvushe kwenye huu MKWAMO.
 
Yani CCM ipo siku.

Watu wana hali ngumu sana mtaani Watumishi full kukandamizwa na kunyimwa stahiki za vyeo,madaraja wanayostahili.

Bravo vijana wa Kenya
 
Ukitaka mfano wa maisha ya peponi yakoje kuwa kiongozi Tanzania
Yaani ni Marashi ya Karafuu tu huku unauza Misitu Bandari na kuwafukuza Watanganyika Jamii ya Wamasai kutoka kwenye Ardhi yao ya Asili.
 
Ila pia hatusomi, ukiwaskia hao Generation Z wa Kenya wanajua hiyo finance bill inasemaje ndo maaana wanaipinga kwa sababu wameisoma. Ila tukiulizana tu wangapi tumesoma au tumechangia kwenye muswada wa sheria ya fedha...????
 
Ndio maana tunasema Chama cha Demokrasia na Maendeleo nacho tukipe CHANCE kituvushe kwenye huu MKWAMO.
Hapa ndio unakosea sana.Hiki chama kina watu kana wale wale wa ccm.Tofauti ni kwamba wao wana wivu tu na husda dhidi ya walio kwenye madaraka.
Siamini tena eti mbowe na lissu wanaweza kutuongoza kuleta tofauti.
 
Ila pia hatusomi, ukiwaskia hao Generation Z wa Kenya wanajua hiyo finance bill inasemaje ndo maaana wanaipinga kwa sababu wameisoma. Ila tukiulizana tu wangapi tumesoma au tumechangia kwenye muswada wa sheria ya fedha...????
Tanzania kuna vitu vinaongoza kuchochea ujinga tena wa kiwango cha juu mno.
1. Vyombo vya habari hususan TV na Radio wakiongozwa na wasafi,clouds na vijukuu vyake.Inafaa zifutwe kabisa.

2. Machawa na wasanii wa muzik wa bongofleva na bongo muvi.Kazi yao kuimba matusi na kuendekeza uchawa huku wakipumbaza wajinga wengi

3.Mfumo wa elimu umejaa ujinga wa kiwango cha juu mno.
Kuna vitisho,udhibiti wa fikra,na mifumo ya kuzuia watu maskini wasipate elimu bora.

4. Viongozi wa dini wanaotumia nguvu za kichawi kurubuni watu
 
Bongo waoga na wanafiki mfano mkiwa mnapanda lift mpo ground floor akatokea mtu akabonyeza lift kuelekea M ama first floor mijitu itakaa kimya tu ile mhusika anashuka yanaanza kuropoka kwa kujiamini eti watu wavivu floor ya kwanza unapanda lift kwa nini usipande ngazi wakati mhusika alipo kuwepo yalikuwa kimya kama vifaranga vilivyonyeshewa mvua.

Njoo kwenye mwendokasi mijitu inajifanya inajua kuongea ila kutake action ni sifuri hii nchi Ina usengerema sana
Kwani lifti kusimama ghorofa zote hata ya kwanza Kuna shida gani kichwa maji wewe?
Unawapangia wenye Lift Cha kufanya lofa wewe
 
Back
Top Bottom