Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Yaani we acha tu ili ufanikiwe ni Kwa juhudi binafsi siyo kwa mifumo iliyop, asilimia 80 ya mafanikio katika biashara yana mtegemea mjasiriamali lakini asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzinguka hii asilimia 20 inanguvu hata kuua biashara endapa jamii itakuwa mfu, yaani jamii ya bora liende, (inayopokea kila kitu)Siasa za Ujamaa na kujitegemea zimetulemaza tuliaminishwa kuwa hata kufikiri tusifikiri tumuachie Mwenyekiti wa CCM yeye ndie afikirie na sisi tukabakishwa kama Mazombi tukabakia tunapayuka "...zidumu fikra za Mwalimu Nyerere ZIDUMUU!!!..."
Na sio kwamba hatuwezi kutoka hapa tulipo tunaweza sana ila hawa CCM wameishiwa na Ideas kwenye Ujamaa hawapo kwenye Uliberali hawapo kwenye Ubepari hawapo wamebaki na Siasa za Kiswahili swahili Nchi wameifanya Kijiwe cha Kahawa.Yaani we acha tu ili ufanikiwe ni Kwa juhudi binafsi siyo kwa mifumo iliyop, asilimia 80 ya mafanikio katika biashara yana mtegemea mjasiriamali lakini asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzinguka hii asilimia 20 inanguvu hata kuua biashara endapa jamii itakuwa mfu
Ndiyo maana wanaahirisha kufikiri kwa nafsi, a. k. a kujizima data cha ajabu akili zilezile zilizo tengeneza tatizo haziwezi kutatua changamoto, yaani yasiyoyatarajiwa, (uncertainty)Na sio kwamba hatuwezi kutoka hapa tulipo tunaweza sana ila hawa CCM wameishiwa na Ideas kwenye Ujamaa hawapo kwenye Uliberali hawapo kwenye Ubepari hawapo wamebaki na Siasa za Kiswahili swahili Nchi wameifanya Kijiwe cha Kahawa.
Ndio maana tunasema Chama cha Demokrasia na Maendeleo nacho tukipe CHANCE kituvushe kwenye huu MKWAMO.Ndiyo maana wanaahirisha kufikiri kwa nafsi, a. k. a kujizima data cha ajabu akili zilezile zilizo tengeneza tatizo haziwezi kutatua changamoto, yaani yasiyoyatarajiwa, (uncertainty)
Muda umeshaongea mkuu
Yaani ni Marashi ya Karafuu tu huku unauza Misitu Bandari na kuwafukuza Watanganyika Jamii ya Wamasai kutoka kwenye Ardhi yao ya Asili.Ukitaka mfano wa maisha ya peponi yakoje kuwa kiongozi Tanzania
Hapa ndio unakosea sana.Hiki chama kina watu kana wale wale wa ccm.Tofauti ni kwamba wao wana wivu tu na husda dhidi ya walio kwenye madaraka.Ndio maana tunasema Chama cha Demokrasia na Maendeleo nacho tukipe CHANCE kituvushe kwenye huu MKWAMO.
Tanzania kuna vitu vinaongoza kuchochea ujinga tena wa kiwango cha juu mno.Ila pia hatusomi, ukiwaskia hao Generation Z wa Kenya wanajua hiyo finance bill inasemaje ndo maaana wanaipinga kwa sababu wameisoma. Ila tukiulizana tu wangapi tumesoma au tumechangia kwenye muswada wa sheria ya fedha...????
Ufafanuzi zaidi unahitajika hapa👆.Hiki chama kina watu kana wale wale wa ccm.
Kwani lifti kusimama ghorofa zote hata ya kwanza Kuna shida gani kichwa maji wewe?Bongo waoga na wanafiki mfano mkiwa mnapanda lift mpo ground floor akatokea mtu akabonyeza lift kuelekea M ama first floor mijitu itakaa kimya tu ile mhusika anashuka yanaanza kuropoka kwa kujiamini eti watu wavivu floor ya kwanza unapanda lift kwa nini usipande ngazi wakati mhusika alipo kuwepo yalikuwa kimya kama vifaranga vilivyonyeshewa mvua.
Njoo kwenye mwendokasi mijitu inajifanya inajua kuongea ila kutake action ni sifuri hii nchi Ina usengerema sana
Rubbish🗑️Kwani lifti kusimama ghorofa zote hata ya kwanza Kuna shida gani kichwa maji wewe?
Unawapangia wenye Lift Cha kufanya lofa wewe