Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Si busara kabisa kujimwambafai na kujiona huko juu kuliko hao unaokutana nao kila kukicha. Katika pitapita yangu unakuta mtu anapata taabu sana katika kushiriki story, chakula, usafiri, kazi, picha za pamoja (selfie) n.k kwa kujiona yeye yuko juu na kuanza kuleta dharau na kuponda maisha ya watu.
Ni kawaida katika kupambana unaweza kujikuta unakuwa mkubwa kimapato, kiakili, kimtizamo, n.k ambavyo hivyo ni dalili ya kukuonyesha ubadili maisha na uingie katika jamii utakayoendana nayo. Kama ulikuwa unapanga uswahili "keko machungwa" angalau hamia Sinza, kama uliajiriwa kama "computer operator" ukasoma ukajiendeleza lakini bado mazingira yako unabishana na fresh graduate ambao wao wanafanya hivyo ili waonekane basi panda cheo kwenye level ambayo utakuwa unatoa amri wanafuata au acha kazi jiajiri ndivyo inavyotakiwa. Kama wakati unaingia jamii forum ulikuwa unarukiarukia nyuzi za watu lakini sasa umepata maarifa zaidi hakuna haja ya kutoleana povu na wadau pita kimya kimya au nenda katika platform ya level yako.
Kama ulikuwa unaopoa mademu wanaonuka papuchi sio kuja hapa JF na kuanzisha nyuzi za kuwaponda wakati wewe ndo level yako achana nao kashobokee mabinti wa wenyenazo. Kama kila siku hapo home ni michosho na madingi basi hama kapange kitaaa. Naweza kuendelea kutoa scenario mbalimbali katika mazingira mbali mbali na kuendelea.
Hapa pointi yangu ni kwa wewe kujitambua na kujikubali kuwa tatizo sio hao watu wanaokukera bali tatizo ni wewe. Unachotakiwa kufanya ni kupambana uondokane na hayo mazingira na kila unavyopanda na kuingia mazingira mapya utakereka na kulazimika kupambana na kutoka na mwisho wa siku utajikuta huko juu ambapo unaweka magate ya nani aongee na wewe na kwa muda gani. Wewe unachoongea kila mtu anakisikiliza na kukisupport lakini lazima uwe na hela.
NILIKUWA KATIKA KIJIWE FULANI NIKAKUTA KIJANA FULANI ANAKEREKA NA STORY ZA MACHALII ALIOKUWA AMEKAA NAO NDO NIKAONA SIO MBAYA KUSHIRIKISHANA.
Ockay! MII NAPANDA BAJAJI NASEPA!!