Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
Hahaha..!cc: Carleen mdogo wangu uje upate point ya kuchagua mwenza hapo, usije pata mtu mwenye wivu kama mimi nakagua simu na mpigia CEO wako namtukana aache kuwasiliana na wife wangu, kesho unapoteza kazi au fursa ya kwenda kwenye tour ya kujifunza fursa zilizopo nchi flani au ya kujiendeleza kwenye fani yako sababu mumeo ana wivu.
Mdogo wangu bwaana.!
Being jealous ain't a problem with me, wewe kagua kila kitu hata hack devices I got no issues with it..!
Ila mzee mzee ukijaribu kuanza kutukana na kuleta vurugu mpaka kwenye deals zangu ni lazima moto uwake, I can't lie that to him.!