Kiwango salama cha pombe kinachokubalika kiafya kwa siku

Ebu kunyweni pombe bana, acheni visingizio mbalimbali...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona mtu anacalculate kiwango Cha pombe ujue si mnywaji...mku inakuaje unakunywa 200ml kwa massa matatu..inaonekana muda muda mwingi unaangalia makalio ya wanawake na si kunywa
 
Naomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku iwe bia, konyagi, wine, whisky nk.

Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne nachangamka kiasimnakwenda nyumbani naoga nakula vizuri balanced diet asubuhi naamka vizuri sana.

Je, nipo sahiBis

Je, nipo sahihi?
Binafsi nafanya hivyo. Konyagi ndogo Club Soda/Tonic Soda basi
 
Back
Top Bottom