uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Pata mvinyo ila pima akili yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mtu anacalculate kiwango Cha pombe ujue si mnywaji...mku inakuaje unakunywa 200ml kwa massa matatu..inaonekana muda muda mwingi unaangalia makalio ya wanawake na si kunywa
Naomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku iwe bia, konyagi, wine, whisky nk.
Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne nachangamka kiasimnakwenda nyumbani naoga nakula vizuri balanced diet asubuhi naamka vizuri sana.
Je, nipo sahiBis
Binafsi nafanya hivyo. Konyagi ndogo Club Soda/Tonic Soda basiNaomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku iwe bia, konyagi, wine, whisky nk.
Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne nachangamka kiasimnakwenda nyumbani naoga nakula vizuri balanced diet asubuhi naamka vizuri sana.
Je, nipo sahihi?