Plot4Sale Kiwanja Bunju A Stand ya Shule, SQM 400, Milioni 8

Plot4Sale Kiwanja Bunju A Stand ya Shule, SQM 400, Milioni 8

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666
Kiwanja kinauzwa, kipo Bunju A Stand ya Shule. Ukubwa wa kiwanja ni mita 20 x mita 26, sawa na SQM 400(makadilio), Bei ni TZS Milioni 8.

Eneo hili ni tulivu na lina mazingira mazuri. Kiwanja hiki kipo umbali wa kilomita 2 kutoka barabara ya Bagamoyo Road.

Kiwanja hiki kina hati ya serikali ya mtaa. Hakuna mgogoro wowote kuhusu kiwanja hiki.


Mawasiliano:

Wasiliana na Sewando kwa simu namba [Edited: Reason - Sold Out] kwa maelezo zaidi.

Picha:
1704188390248.png

-
1704188423085.png
 
Ni kwa upande upi ukiwa unaenda bunju? Asante
 
Back
Top Bottom