Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Jan 2, 2024 #1 Kiwanja kinauzwa, kipo Bunju A Stand ya Shule. Ukubwa wa kiwanja ni mita 20 x mita 26, sawa na SQM 400(makadilio), Bei ni TZS Milioni 8. Eneo hili ni tulivu na lina mazingira mazuri. Kiwanja hiki kipo umbali wa kilomita 2 kutoka barabara ya Bagamoyo Road. Kiwanja hiki kina hati ya serikali ya mtaa. Hakuna mgogoro wowote kuhusu kiwanja hiki. Mawasiliano: Wasiliana na Sewando kwa simu namba [Edited: Reason - Sold Out] kwa maelezo zaidi. Picha: -
Kiwanja kinauzwa, kipo Bunju A Stand ya Shule. Ukubwa wa kiwanja ni mita 20 x mita 26, sawa na SQM 400(makadilio), Bei ni TZS Milioni 8. Eneo hili ni tulivu na lina mazingira mazuri. Kiwanja hiki kipo umbali wa kilomita 2 kutoka barabara ya Bagamoyo Road. Kiwanja hiki kina hati ya serikali ya mtaa. Hakuna mgogoro wowote kuhusu kiwanja hiki. Mawasiliano: Wasiliana na Sewando kwa simu namba [Edited: Reason - Sold Out] kwa maelezo zaidi. Picha: -
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Jan 2, 2024 #2 Kwa bunju ni bei rahisi mno, haitachukua muda atapatikana mteja.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jan 2, 2024 #3 Ni kwa upande upi ukiwa unaenda bunju? Asante
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Jan 3, 2024 Thread starter #4 kawombe said: Ni kwa upande upi ukiwa unaenda bunju? Asante Click to expand... Kipo upande wa kushoto stand ya shule bunju A kama unaelekea bunju B
kawombe said: Ni kwa upande upi ukiwa unaenda bunju? Asante Click to expand... Kipo upande wa kushoto stand ya shule bunju A kama unaelekea bunju B
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Jan 31, 2024 Thread starter #5 Update: Sold Out | Thread Closed
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,010 Reaction score 4,083 Feb 3, 2024 #6 Good