kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
dah!kumbe saa 4 ndio mnada nimechelewa kidogo tu
Habari wanajamvi,
Baada ya Judith Wambura Habash kushindwa kulipa mkopo aliokopa,nyumba yake iliyopo Mivumoni,Kinondoni imewekwa sokoni kwa ajili ya kupigwa mnada.
Mtakumbuka kuwa sasa hata Bar yake ya M.O.G imefungwa muda sasa.
Tumuombee Anaconda maana anapita kwenye wakati mgumu sana sasa hivi.
View attachment 265566
Japo Dawa ya deni ni kulipa lakini kiburi ndio kimechangia zaidi huyu dada kufikishwa hapa!
Mtu mwenye utimamu anafungaje biashara ambayo ndio sababu ya yeye kuchukua mkopo? Kwenye hili sakata tutajua mengi lazima jide afunguke soon!
Shughuli itakuwa imekwisha. Nimesikitika kwa hili, wasanii wamekosa umoja wangemsaidia mwenzao bila kujali kuwa alijipambanua kuwa ni team fulani.
Jide sio mjinga kiasi hicho, hakuona sababu ya kumnufaisha mtu na mwisho wa siku utakuja kugundua kuwa ye ndo amenunua hilo eneo, hii ni jinsi ya kumtoa kwenye mirathi G
Sio nyumba wadau ni kiwanja uko kinondoni.
Musician Lady Jaydee aka Komando
Jide, her plot in Kinondoni is up for
auction by EFC Tanzania Limited. Darcity
center tried to find Lady Jaydee's
Manager to confirm if it was true
regarding the rumuours
Kuna kapoint fulani hapa........
Kimtindo gadner ataambiwa imeuzwa na benki....
Hela alishazila jide kitaaambooooo
Hiki ni kiwanja lakini bado kuna nyumba na vitu vingine ikiwemo blog.....!
Ingekua vyote ameviweka kama collateral vingetangazwa....
Halafu blog anybue nani? Labda Babu maana anahaha kusaka followers
ukigombana na Ruge basi jipange kwa punch za maana.Only Sugu ndio ana muweza Ruge!
jaman mjini akili ulilemaa wenzako wanasogea!jide sio mzito kiasi hicho mchezo huo wajanja wachache wanajua.hiyo michezoinachezwa sana hapa mjini hasa na couple zilizovunjika.jiulize mara mbili jide ni wakukosa hiyo hela.ahaaa wakuja ndo watahadaika ila michezo kama hiyo tushaiona mara kibao.
Nyumba hii itanunuliwa na Clouds media ili kumuokoa Jide au atalipiwa deni!